Kentsuhcy Wrudate
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 1,075
- 653
Hio ya twiga umeiquote vby. Unajua "living relative" wa twiga? Ni mnyama hana shingo ndefu... na pia kuna fossil records!Hahhh haswaa, evolution Theory ni Imani tena Imani potofu Maana ukisoma Concepts za Natural Selection; kuhusu Twiga kuwa na shingo ndefu evolution Theory inasema "Twiga alikua na shingo fupi
Ila Kwasababu alikua anatamani sana kula majani kutoka kwenye miti hivyo ikapelekea shingo yake kuwa ndefu. "
Yani ni Uongo wa wazi kabisa.
Mimi leo nataka waseme Kinyonga kabla ya kuwa Kinyonga alikua kiumbe gani kwa mujibu wa Evolution Theory.?
Na Konokono nae alikua kiumbe gani kabla ya kuwa Konokono..?
Sisi tunaoamin vitu vyenye historical proof na nyie mnaoamin kitu ambacho hakina proof, nan mwenye iman potofu?
Sent using Jamii Forums mobile app