Atheists wana mtindio wa ubongo

Atheists wana mtindio wa ubongo

Hivi, Kuku Broiler ile ni evolution?
Ng'ombe wa kizungu ni evolution ile?

Ili iwe evolution inabidi ituletee kiumbe ambacho ni completely different

Mfano, Mwanamke akipewa medication ambayo itamfanya atoe maziwa mengi... Je tutasema hiyo ni evolution?
Hio ni selective breeding imefanya kupata izo traits. Kwa lugha nyingine inaitwa "human assisted EVOLUTION". Kwahio ndio, hio ni evolution!

Kumpa mama mjamzito dawa fulan ili azalishe maziwa mengi. Iko hivi, je watoto wake pia watazalisha maziwa mengi? Itakua ndio genetic default yake? Kama ndio, basi ni EVOLUTION! Ila human assisted evolution ni unethical kufanya kwa binadamu, maana ukialter genes hua kuna side effects znatokea...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuelezee hy evolution kuongelea miaka Ile mingi ilopita walitumia nini ?
A combination of dating techniques. Moja ikiwa ni carbon dating.

Ulshawah kuskia zile case mtu kauawa miaka 10 iliopita halaf wanakuta mwili wake sehem wanapeleka kwa uchunguz then wanagundua ni lini mauwaji yamefanyika? Ulijiuliza wanajuaje?
 
Hio ni selective breeding imefanya kupata izo traits. Kwa lugha nyingine inaitwa "human assisted EVOLUTION". Kwahio ndio, hio ni evolution!

Kumpa mama mjamzito dawa fulan ili azalishe maziwa mengi. Iko hivi, je watoto wake pia watazalisha maziwa mengi? Itakua ndio genetic default yake? Kama ndio, basi ni EVOLUTION! Ila human assisted evolution ni unethical kufanya kwa binadamu, maana ukialter genes hua kuna side effects znatokea...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuku Broiler Bado anabaki kuwa Kuku,... Hakuna evolution yoyote hapo

Hakuna kiumbe kipya kilichotokea zaidi ya kufanya medication na kuharibu.... Au wewe huoni madhara yanayotokana na broilers?
 
Sijapinga kauli yangu.

Nilisema kua closest living relative wa binadamu ni chimpanzee

Sehem ingine nikasema kua binadamu hajawah kua chimpanzee

Nimepinga nn hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulivyosema Chimpanzee ni closest relative wa Mtu in relavant with issue ya evolution ambayo tunaizungumzia hapa ulimaanisha nini Mkuu..,
 
Ulivyosema Chimpanzee ni closest relative wa Mtu in relavant with issue ya evolution ambayo tunaizungumzia hapa ulimaanisha nini Mkuu..,
Nilimaanisha kua, chimpanzee ni closest living relative wa binadamu. Kumaanisha kwamba, ni kiumbe pekee aliehai ambaye tunashare common ancestors. Walikuepo wengine ila wametoweka, ndio kuna mjadala wa kwann walitoweka? Na katk genetic studies tunaona kua kuna baadhi ya binadamu wana dna za hawa hominids wengine, kumaanisha kua kuna uwezekano walizaliana na binadamu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuuuhh... basi huelew maana ya evolution chalii angu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja tuweke mambo sawa.....
Ipo hivi Mimi kuna vitu naona ni Uongo kwenye Evolution Theory

Kwanza kabisa.., Evolution Theory ambayo inasema Mtu asili yake ni "Apes"
Haituambii "Apes" asili yake ni nini

Evolution inabidi ianze kutoa proofs zake from nothingness...... Yani kabla viumbe vyote havipo... Then itaje kiumbe Cha kwanza na jinsi kilivyobadilika na kuwa kiumbe kingine.

~Mfano.., Evolution inabidi ituambie From Nothingness Nyuki walitokea wapi.......na kabla Nyuki kuwa Nyuki alikua kiumbe gani?!
 
Evolution mbona inaeleza vyote ivo kaka...

Na binadamu ni apes mpaka sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A combination of dating techniques. Moja ikiwa ni carbon dating.

Ulshawah kuskia zile case mtu kauawa miaka 10 iliopita halaf wanakuta mwili wake sehem wanapeleka kwa uchunguz then wanagundua ni lini mauwaji yamefanyika? Ulijiuliza wanajuaje?
KWA wakati ule zilikuwepo hizo techs ?
Je mabadilishano ya Carbon toka kwa kiumbe na mazingira hakukuathiri accuracy ?
 
Back
Top Bottom