Atheists wana mtindio wa ubongo

Atheists wana mtindio wa ubongo

Aka adopt na mazingira, process ikaendelea ndio mpaka sasa tuna hii diversity ya viumbe

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa.., ndyo nataka uelezee Kwa mujibu wa wabobevu wa Sayansi hiyo process ilikuaje kuaje....

Kwa mfano, Tuanze kwa kuangalia viumbe wawili tu Mtu na Nyuki process ilikuaje mpaka wakatokea kutoka kwa Sea Sponge.

Ahsante ,
 
Hio ya baiskeli nimetoa mfano rahisi tu uelewe, sio reality. Haya substitute baiskel kwa pikpik...
Naanzia hapa, maana ya mfano ni kuendana na ukweli ili mtu aelewe vizuri, huwezi kutaja mwendo huo uka upa sifa kwenye au kiunasibisha na baiskeli. Shida yenu hamjishughulisbi na uhalisia.
Unachanganya "weight" na "mass" kaka. Ni vitu viwil tofaut kabisa. Weight ni vector quantity na mass ni scalar. Ukiweza kuvielewa hivi utaelewa vzr tu... na hio unayosema kama "athari ya mwendo kasi" ndio increase in energy and mass. Ni mass (sio weight). Na increase in energy ni effect ya mwendo kasi! Duh!!...
Kijana unajua maana ya uhalisia ? Sijui unaandika maneno mengi yasiyo maana kwa sababu ya uoga au utoto ? Siongelei suala la Weight kijana bado katika kanuni hiyo hiyo isemayo E = mc^2. Risasi ni wakati gani inakaribia mwendo wa mwanga ili ilete athari ? Kadhalika kwenye huo mwendo wa mwanga, wa c= 3.0×10^8m/s inahitaji uthibitisho, kwa hapa tuchukulie Iko hivyo. Toa mfano wa wastani wa mwendo wa risasi tuone ukweli wako.

Kingine nikipata muda nikumbushe nitakuja kuikosoa hii kanuni ya Energ-Mass kama ni kweli au ujinga tu wa kina Albert Einstein.
 
Sawa.., ndyo nataka uelezee Kwa mujibu wa wabobevu wa Sayansi hiyo process ilikuaje kuaje....

Kwa mfano, Tuanze kwa kuangalia viumbe wawili tu Mtu na Nyuki process ilikuaje mpaka wakatokea kutoka kwa Sea Sponge.

Ahsante ,
Blaza. Kumbuka hapo tunaongelea issue za more than 500my. Sasa na surmise vp? Kama uko interested apply evolutional biology usome hio course. Ukiona kuna vitu haviko sawa unachapa vitabu kuelezea views zako...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naanzia hapa, maana ya mfano ni kuendana na ukweli ili mtu aelewe vizuri, huwezi kutaja mwendo huo uka upa sifa kwenye au kiunasibisha na baiskeli. Shida yenu hamjishughulisbi na uhalisia.

Kijana unajua maana ya uhalisia ? Sijui unaandika maneno mengi yasiyo maana kwa sababu ya uoga au utoto ? Siongelei suala la Weight kijana bado katika kanuni hiyo hiyo isemayo E = mc^2. Risasi ni wakati gani inakaribia mwendo wa mwanga ili ilete athari ? Kadhalika kwenye huo mwendo wa mwanga, wa c= 3.0×10^8m/s inahitaji uthibitisho, kwa hapa tuchukulie Iko hivyo. Toa mfano wa wastani wa mwendo wa risasi tuone ukweli wako.

Kingine nikipata muda nikumbushe nitakuja kuikosoa hii kanuni ya Energ-Mass kama ni kweli au ujinga tu wa kina Albert Einstein.
Katika formula hii E=mc² unaona kua ukikarbia speed ya mwanga, energy ya object inaongezeka. Kukaribia speed ya mwanga inamaana ni simpy kuongeza speed ya object. Unafkir kwann high speed cars zinahitaj hp kubwa? Kwasababu itafika mahala gari litakua na energy kubwa litashindwa kuendelea kuacclerate, ivo itakupasa uongeze nguv ya gari!

Unapofikia light speed inamaana utakua na infinity mass, ivo utahitaj infinity source of energy kukimbia speed hio. Na ndiomaana hakuna chombo chochote mpaka sasa kinachokimbia speed ya mwanga; Kwasababu hatuna infinity source of energy!

Kinachofanya risasi iwe na madhara ni kwasababu risasi inakua na kasi sana ivo energy yake (na mass) vinaongezeka. Hii ndo hasara ya kusoma physics kwa nadharia tu bila kuwaza in practice inakuaje...[emoji2365]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Blaza. Kumbuka hapo tunaongelea issue za more than 500my. Sasa na surmise vp? Kama uko interested apply evolutional biology usome hio course. Ukiona kuna vitu haviko sawa unachapa vitabu kuelezea views zako...

Sent using Jamii Forums mobile app
Weka summary tu....

Au kwa uchache toa summary jinsi Sisimizi alivyotokea kutoka Kwa Sea Sponge.
 
Katika formula hii E=mc² unaona kua ukikarbia speed ya mwanga, energy ya object inaongezeka. Kukaribia speed ya mwanga inamaana ni simpy kuongeza speed ya object. Unafkir kwann high speed cars zinahitaj hp kubwa? Kwasababu itafika mahala gari litakua na energy kubwa litashindwa kuendelea kuacclerate, ivo itakupasa uongeze nguv ya gari!
Kijana jibu swali nililo kuuliza, ni wakati gani huo mwendo unakaribia mwendo wa light ambao ni 816000miles per second.

Kingine experiment iliyo fanyika kufikia Hilo hitimisho unajua ilifanyika katika mazingira gani ? Jibu ni katika Strong Electric Filed, Sasa uhusiano wa hayo mazingira na haya halisi ni upi ?

Kingine according to hiyo theory tunakuja kuona haya yafuatayo :
IMG_20230221_175604.jpg

Kwa akili yako mass ni nothing ila ni Energy ?

Unapofikia light speed inamaana utakua na infinity mass, ivo utahitaj infinity source of energy kukimbia speed hio. Na ndiomaana hakuna chombo chochote mpaka sasa kinachokimbia speed ya mwanga; Kwasababu hatuna infinity source of energy!
Kitu gani kimewahi kufikia Speed ya Light katika uhalisia ? Infinity Source ushawahi kuodiriki ? ONA Sasa unavyo potea. Sasa kama hakuna nguvu ya ulinganyo mnaipata wapi ?
 
Kinachofanya risasi iwe na madhara ni kwasababu risasi inakua na kasi sana ivo energy yake (na mass) vinaongezeka. Hii ndo hasara ya kusoma physics kwa nadharia tu bila kuwaza in practice inakuaje...
emoji2365.png
Sijui kwanini hujibu swali ninalo kuuliza.
 
Kijana jibu swlai nililo kuuliza, ni wakati gani huo mwendo unakaribia mwendo wa light ambao ni 816000miles per second.

Kingine experiment iliyo fanyika kufikia Hilo hitimisho unajua ilifanyika katika mazingira gani ? Jibu ni katika Strong Electric Filed, Sasa uhusiano wa hayo mazingira na haya halisi ni upi ?

Kingine according to hiyo theory tunakuja kuona haya yafuatayo :
View attachment 2525317

Kwa akili yako mass ni nothing ila ni Energy ?

Kitu kimewahi kufikia Speed ya Light katika uhalisia ? Infinity Source ushawahi kuodiriki ? ONA Sasa unavyo potea. Sasa kama hakuna nguvu ya ulinganyo mnaipata wapi ?
Unalewa kua anaetembea 50kph yuko closer to speed of light kuliko alie 10kph, sindio?

Sielew unachobisha ni nn haswa, kwamba unavo accelerate mass haiongezeki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unalewa kua anaetembea 50kph yuko closer to speed of light kuliko alie 10kph, sindio?

Sielew unachobisha ni nn haswa, kwamba unavo accelerate mass haiongezeki?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka uonyeshe inaongezeka vipi wakati athari ya kitu inasababishwa mwendo tena katika medium hiyo hiyo. Hayo maelezo mengine ni chai tu za Wanasayansi ndiyo maana ninacho kuuliza unashindwa kujibu.

Yaani onyesha inaongezeka vipi, ili ujue hakika ya jambo huwa mnafanya vipi ? Au mnaishia juu juu tu na kufikia hitimisho ( na inajulikana wazi kabisa tatizo kubwa la Sayansi ni katika kufikia hitimisho, huwa Kuna kkna nyingi sana na Assumptions kibao, lengo kuficha udhaifu wao)
 
Back
Top Bottom