Atheists wana mtindio wa ubongo

Atheists wana mtindio wa ubongo

Hakuna asiyeelewa evolution....

Nimesema hivi hakuna evidence yoyote umeweka kuhusu hizo theory.

Walioifanya utafiti wenyewe hawana Imani nayo.... Ila wew ndyo unajiona muumini mkubwa wa Evolution Theory kuliko wao
Kama hakuna proof then how do you explain fact ya kua in recent years some birds wamedevelop shorter wing span? Birds evolve shorter wings to survive on roads.

Hio inaitwa adaptation to the new environment, ambayo ndio evolution yenyew. Iko proved!
Na unajua kua waafrika wengi saiv malaria haiwadhuru sana? Unajua ni kwann?
Ambacho hatuwez prove ni ile vitu kama samak kudevelop lungs, kwa sababu zilizo obvious!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Adaptation na Evolution ni vitu viwili tofauti....,

Mtu ambae amezoea kukaa Nchi yenye joto Kali mfano Sudan,.. akienda Nchi yenye Baridi Kali mwili wake uta_adapt hiyo hali ya Baridi.

So, hapo hatuwezi kusema Evolution imetokea bali ni Adaptation tu.

Unaposema Apes amebadilika mpaka kuwa Mtu... Then hiyo ndiyo kina Charles Darwin wanaita Evolution.

So tunabaki pale pale... Hiyo ni theory &not fact
 
Malaria kutowadhuru sana Waafrika kwa sasa inahusiana vipi na evolution.?
Genetic mutations. Waafrika wengi wamedevelop resistance ya malaria kwasababu ya hio mitation.
Ukiangalia, malaria ilikua inaua sana watoto wadogo, chini ya miaka 5. Ivo waliokua infected wengi wao walikufa kabla ya sexual maturity ivo hawaku pass-on genes zao.
Ila kwa waliokua na hio mutation walisurvive plasmodium infection mpaka wakawa sexually mature, ivo waka rithisha genes zao kwa watoto wao. Ingia sio 100% ya watoto watapata hio mutation kwhy wenye mutation watasurvive, wasio nayo watakufa. Mwisho wa siku utakuta umebak na population kubwa ya watu wenye hio mutation inayo resist effects za malaria.

Kufanya huu utafiti hawakuja na jibu kua ni 'evolution' bali walifanya utafiti baada ya kuona kwamba vifo vya malaria vinazid kupungua afrika na wakat kuna upambanaji hafifu wa ugonjwa huo. Na hii ndio evolution kama alivoielezea Charles Darwin i.e "natural selection"

Hio energy exerted by a body at motion (momentum).
Momentum ni energy kwa mujibu wa nani ? Na inakuwa katika form gani ? Nachojua Mimi Momentum siyo energy by itself, ila ni source ya Kinetic Energy. Vipi Momentum iwe ni Energy ?
Iko directly proportional to mass. Ivo ukiwa una mass kubwa tunategemea kua na momentum yako itakua kubwa, and vice-versa is true. Formula inaprove hili na in practice pia inakua proved.
Kuwiana sawia na tungamo haimaanishi katika uhalisia hiyo ni katika mahesabu, hapa tunataka uhalisia kijana. Sababu nikikuomba ushahidi uthibitishe Hilo hutaweza zaidi ya kurudi katika maelezo yasiyo na ithibati.

Kimahesabu hata Projectile Motion Calculation ziko sawa ila katika uhalisia haziingii. Lazima ujue kutofautisha hesabu na uhalisia.
In practice ukitaka kuprove kiurahis fanya hivi.
Unajua acceleration na speed inaweza kua direction yyte? Unaweza hata kua acceleration due to gravity. Ukitoka juu ya ghorofa ukajitupa chini inamaana uta accelerate to a certain velocity... sasa demonstrate hivi. Simama juu ya muzani wa kupimia uzito then ruka uone kilo zako zinavoongezeka mpaka pale utapofikia terminal velocity kisha readings znarud katk kilo zako halisi.
Haya maelezo unayarudia tu kama uliyo yaandika huko nyuma. Nataka unionyeshe unajuaje tungamo inaongezeka ?

Kijana mfano wako umenichekesha sana, kabla ya kutoa huu mfano ulitakiwa uwe umatekeleza hili. Ile athari inatokana na mwendo lakini uzoto uko palepale ndiyo maana ukitulia katika zero speed uzito unakuwa vile vile. Ile ni athari ya nguvu na mwendo ulio tumika.
Sasa ndivo hivohivo inavotekea ktk forward motion except hapa inakua sio acceleration due to gravity, kwahio hio value ya energy inayoongezeka hapo inakua sio weight bali mass.

Mpaka najiuliza kama huwa unafikiria ?
 
Momentum ni energy kwa mujibu wa nani ? Na inakuwa katika form gani ? Nachojua Mimi Momentum siyo energy by itself, ila ni source ya Kinetic Energy. Vipi Momentum iwe ni Energy ?

Kuwiana sawia na tungamo haimaanishi katika uhalisia hiyo ni katika mahesabu, hapa tunataka uhalisia kijana. Sababu nikikuomba ushahidi uthibitishe Hilo hutaweza zaidi ya kurudi katika maelezo yasiyo na ithibati.

Kimahesabu hata Projectile Motion Calculation ziko sawa ila katika uhalisia haziingii. Lazima ujue kutofautisha hesabu na uhalisia.

Haya maelezo unayarudia tu kama uliyo yaandika huko nyuma. Nataka unionyeshe unajuaje tungamo inaongezeka ?

Kijana mfano wako umenichekesha sana, kabla ya kutoa huu mfano ulitakiwa uwe umatekeleza hili. Ile athari inatokana na mwendo lakini uzoto uko palepale ndiyo maana ukitulia katika zero speed uzito unakuwa vile vile. Ile ni athari ya nguvu na mwendo ulio tumika.

Mpaka najiuliza kama huwa unafikiria ?
Hio unayoita "athari ya mwendo" ndio change in mass yenyew. Ushaangalia video ya wale kina Neil na Buzz walivotua mwezin? Unafkiri ni kwann walikua wana trip kila mara?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia na vyote vilivyomo ni vyake Mwenyezi-Mungu; ulimwengu na wote waishio humo ni mali yake. Maana yeye aliweka misingi ya dunia juu ya bahari; aliisimika imara juu ya mito ya maji.
Zaburi 24:1‭-‬2 BHN

Mbingu zatangaza utukufu wa Mungu; anga ladhihirisha kazi ya mikono yake. Mchana waupasha habari mchana ufuatao, usiku waufahamisha usiku ufuatao. Hamna msemo au maneno yanayotumika; wala hakuna sauti inayosikika; hata hivyo, sauti yao yaenea duniani kote, na maneno yao yafika kingo za ulimwengu. Mungu ameliwekea jua makao yake angani; nalo hutoka kama bwana arusi chumbani mwake, lafurahi kama shujaa aliye tayari kushindana. Lachomoza toka upande mmoja, na kuzunguka hadi upande mwingine; hakuna kiwezacho kuliepa joto lake.
Zaburi 19:1‭-‬6 BHN
 
Una ushahidi wowote wa haya mambo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sayansi ni nature, elimu ya kiutafiti inayochunguza vitu vilivyotuzunguka

Madai ya uwepo wa Mungu ni supernatural claims zinaohusiana na habari za kiroho

Ni kweli Sayansi haiwezi kuthibitisha aina hiyo ya madai kwa jinsi yalivyokaa, lakini kama utakumbuka sayansi pia haiwezi kuthibitisha habari za Spiderman, Harrypoter, Batman, Super heroes, Unicorn nk.

So point yako ni nini?

Kwamba kwakua sayansi haiwezi kuthibitisha madai ya hivyo vitu basi busara ni kusema haiwezi na sio kwamba hakipo?

No haiwezi ikawa hivyo

Tukisema tuachane na sayansi kwasababu haijui kitu kwenye mambo ya kiroho ambayo ndio sehemu iliyomuongelea Mungu, so turejee kwenye maandiko matakatifu

Ila kabla hatujarejea, kumbuka tuna maelfu ya vitabu vinavyodaiwa kuwa ni vitabu vya Mungu (maandiko matakatifu)

Ni maandiko gani matakatifu yaliyo matakatifu zaidi kuliko mengine?

Au ni toleo gani la maandiko ambalo tunapaswa kulitumia kama reference?

Kama hoja ya "ufunuo" inafikiriwa kuwa ni hoja ya kukubalika basi kuna haja ya kueleza kwanini andiko moja lipingane na andiko lingine wakati yote hudaiwa kuandikwa kwa ufunuo?
Nakubaliana na wewe, sayansi (i.e analytical sciences) ni elimu ya utafiti kuhusu asili ya vitu vinavyotuzunguka.
Tunazungukwa na vitu vingi sana na sayansi haina uwezo wa kupata majibu ya kila kitu, ingawa tunaishi navyo katika maisha yetu ya kila siku.

Hoja yangu ni kwamba, sayansi isikurupuke kutoa hitimisho la imani ya kiroho (i.e Spiritual sciense). Wasikurupuke, hawana elimu ya kiroho.
Mambo ya kiroho yanahitaji pia elimu na akili ili kuyaelewa. Wanasayansi waendelee kufanya utafiti huku wakiwa na tumaini la kuwa Mungu yupo.

Hatuwezi kuachana na sayansi kwa kuwa ni sehemu ya maisha yetu. Vilevile hatuwezi kuachana na imani ya kiroho kwa kuwa pia ni sehemu ya maisha yetu.

Imani, ya kuwa Mungu yupo haitokani na vitabu kama unavyoamini. Inatokana na nguvu za kiroho ambazo ni za Mungu mwenyewe. Mambo ya kiroho ni ya Mungu mwenyewe, hayatokani na vitabu. Mungu alikuwapo hata kabla ya vitabu. Uwepo wa Mungu ulijulikana hata kabla ya hivyo vitabu vitakatifu. Hivyo vitabu vililetwa kwetu na watu wa Ulaya na Uarabuni. Je, kabla ya hivyo vitabu hatukumjua Mungu? Sio kweli.

Tujadili juu ya Mungu, sio vitabu.
 
Observations za kawaida tu. Kuna miungu zaid ya 1000. Na hakuna na hata mungu mmoja aliethibitishwa kisayansi, wala waumini wake kuthibitisha kua yupo.

Cha ajabu hao wanaoamin miungu wenyew hawakubalian kua mungu yupi ni wa kwel, wote wanapingana.

Kisayansi tunaamini kua asteriod kubwa ilikumbana na jua ndio ikatengeneza solar system. Tunaendelea kustand na hii kwa sababu still tunaona asteroids mbali mbali zikikumbana na jua, sayari nyine na miezi. Atleast kuna proof ya hio. Ila miungu? We've got non!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tofautisha kati ya miungu na Mungu. Miungu ni wengi lakini Mungu ni mmoja tu.

Sina uhakika kama sayansi imewahi thibitisha kuwa Mungu hayupo. Ninachojua ni kwamba sayansi inashindwa kuthibitisha kuwa Mungu yupo. Kuna vitu vingi tunaishi navyo, sayansi imeshindwa kuthibitisha, lakini vipo.

Kushindwa kupata jibu, hakuhalalishi kuwa jibu halipo. Jibu lipo, ila umendwa kupata.
 
Miungu ni wingi. Mungu ni umoja... hakuna dini ilietuthibitishia uwepo wa mungu wao.

Na sayansi imeshindwa kuthibitisha uwepo wa mungu ndiomaana tunasema mungu hayupo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana na wewe, sayansi (i.e analytical sciences) ni elimu ya utafiti kuhusu asili ya vitu vinavyotuzunguka.
Tunazungukwa na vitu vingi sana na sayansi haina uwezo wa kupata majibu ya kila kitu, ingawa tunaishi navyo katika maisha yetu ya kila siku.

Hoja yangu ni kwamba, sayansi isikurupuke kutoa hitimisho la imani ya kiroho (i.e Spiritual sciense). Wasikurupuke, hawana elimu ya kiroho.
Mambo ya kiroho yanahitaji pia elimu na akili ili kuyaelewa. Wanasayansi waendelee kufanya utafiti huku wakiwa na tumaini la kuwa Mungu yupo.

Hatuwezi kuachana na sayansi kwa kuwa ni sehemu ya maisha yetu. Vilevile hatuwezi kuachana na imani ya kiroho kwa kuwa pia ni sehemu ya maisha yetu.

Imani, ya kuwa Mungu yupo haitokani na vitabu kama unavyoamini. Inatokana na nguvu za kiroho ambazo ni za Mungu mwenyewe. Mambo ya kiroho ni ya Mungu mwenyewe, hayatokani na vitabu. Mungu alikuwapo hata kabla ya vitabu. Uwepo wa Mungu ulijulikana hata kabla ya hivyo vitabu vitakatifu. Hivyo vitabu vililetwa kwetu na watu wa Ulaya na Uarabuni. Je, kabla ya hivyo vitabu hatukumjua Mungu? Sio kweli.

Tujadili juu ya Mungu, sio vitabu.
Haipo hivyo na hata wewe uki-force basi utajikuta unahukumiwa na mfumo huo

Nakupa mfano

Ukiambiwa kuwa kuna binti wa miaka 20 ambaye ana mama yake mzazi mwenye umri wa miaka 5, utakubali kuwa watu hao wapo?

Au utasema hujui?

Kumbuka ukisema hujui watu hao kama kweli wapo (kuwa neutral), maana yake umekubali kuwa upo uwezekano wa huyo binti na mama yake mzazi mwenye umri ule kuwa wapo vile vile kama ilivyoelezwa ila huna uwezo tu wakutafiti

So kwenye situation hiyo ebu tupe jibu lako

Halafu tuambie kitu gani ambacho kwako wewe unahakika kuwa 100% hakipo tuangalie kama hicho kitu hakina uwezekano wa kuwa tofauti na wewe ulivyokipokea.

Halafu utatupa sababu kwanini haukuchagua kuwa neutral kwenye hicho kitu
 
Tofautisha kati ya miungu na Mungu. Miungu ni wengi lakini Mungu ni mmoja tu.

Sina uhakika kama sayansi imewahi thibitisha kuwa Mungu hayupo. Ninachojua ni kwamba sayansi inashindwa kuthibitisha kuwa Mungu yupo. Kuna vitu vingi tunaishi navyo, sayansi imeshindwa kuthibitisha, lakini vipo.

Kushindwa kupata jibu, hakuhalalishi kuwa jibu halipo. Jibu lipo, ila umendwa kupata.
Miungu ni wengi akiwemo na Mungu wako

Yani ipo hivi, ukiwa Mkristo utasema Mungu ni mmoja na wale wanoabudu Mungu tofauti na wako utawaita Miungu

Falsafa hiyo inafanyika kote, so usione kama Mungu wako kasalimika kwenye dini zingine kutotambulika kama Miungu.

*******************

Sayansi haiwezi kuthibitisha Mungu hayupo, Sayansi haiwezi kuthibitisha Spiderman hayupo pia.

Huwezi kuthibitisha kisichopo kuwa hakipo kwasababu hakipo

We ni muumini wa Kikristo?

Basi kwa maelezo zaidi soma hicho kifungu cha biblia hapo juu nilichokuwekea nimeki bold kwa maneno mekundu, nisomee hicho kifungu niambie umekielewaje.
 
Miungu ni wingi. Mungu ni umoja... hakuna dini ilietuthibitishia uwepo wa mungu wao.

Na sayansi imeshindwa kuthibitisha uwepo wa mungu ndiomaana tunasema mungu hayupo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kuzingatia elimu ya dini, Mungu ni mmoja, hana uwingi wake. Tunazungumzia juu ya Mungu aliyeumba binadamu na vitu vyote.

Sio sahihi kusema hakuna jibu unaposhindwa kupata jibu. Unafanya utafiti wa nini juu ya Mungu kama Mungu hayupo?
Kushindwa kupata jibu kusihalalishe kuwa Mungu hayupo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom