Atheists wana mtindio wa ubongo

Hii ndo definition ya morals according to Google...


Hapo ukiangalia mfumo wa maisha wa octopi ni kama hawawezkua na morals kwasababu watoto wa octopus hawalelewi, mama yao mara nyingi hifariki baada ya vitoto kutotolewa na baba yao hufa baada ya kujamiana. Ila kwa swala la intelligence, they're very intelligent.

It might be out of context ila I thought it's a cool fact.. [emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado hujajibu maswali ya post # 1021. Nasuburi majibu.
Umeuliza imperfections zipi ambazo mimi nadai zipo

Nimekujibu hivi

Imperfections zinazojadiliwa hapa ni ulimwengu kuwa na uwezekano wa kuruhusu mabaya kuwepo

Mungu angeumba ulimwengu ambao ni perfect basi mabaya yasingewezekana kwa namna yeyote ile

Sasa ili kuendelea mbele kuifanya hoja hii isiwe jibu unabidi uniambie kiwa unakataa kuwa ulimwengu huu hauruhusu mabaya?
 
Hilo liko wazi. Zingejengwa nyumba imara, maafa yasingeqakuta.
Hapo hujajibu swali

Nataka nijue kwanini Mungu aliruhusu watoto wasio ma hatia wawe sehemu ya kuadhibiwa kwenye jambo ambalo hawahusiki nalo?
 
"Mungu hatetewi na mwanadamu" ???
Mbona ndio kitu tunaona kila siku? Hamna siku mungu kajitokeza na akajitetea mwenyew bali ni wanadamu. Wengine mpaka wanaua binadamu wenzao kisa mungu wao...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kifupi hakuna roho
Ila wajinga wachache wa kale waliinvent ili neno na wajinga wa Sasa kuliendeleza kutokana na uduni wa Sayansi enzi hizo.

Roho ni myth tu na stori za kale la Wahenga.
 
Hakuna mwenye kuamini atakaye leta maana kamili ya Hilo jambo.
Kwa nini?
Kwa sababu wenyewe wamesadiki bila kuwepo kwa uthibitisho Wala ushahidi wa kimantiki, kimazingira au kisayansi.

Hakuna Atheist aatakaye sema Kuna roho, nasema hakuna.

Kifo hutokea pale seli zako nyingi zitakapo kuwa zimekufa kuliko zinazosapoti uhai

Hata ukifikia near death nothing you see ni kiza tu, maana system za mwili zinakolapse.

Ndiyo nasema kijana jifunze na sio kukaririshwa vitabu vilivyoandikwa zama za ujinga.
 
Ukiona hivyo ni ishara ameshindwa kujenga hoja.

Hongera sana.
 
Huyu nae naona kwenye hicho kipengele Cha morals alishindwa, Hana hoja ila anajaribu kujikakamua tu.

Kukubali ni ishara ya mtu mwelevu
 
Ujinga sio tusi ila kumwita mtu mpumbavu ni tusi.

Kwenye Dunia watu tunatofautiana mitazamo, kiwango Cha elimu, kutembea, kujionea ila mijadala kama hii inatengeneza ulinganifu.

Watu wengi hasa wenye mitazamo aina yako unakuta wamebase kwenye kitabu kimoja hivyo kuwa na uelewa finyu wa jinsi Theology ilivyotumika kwenye dini zao na elimu ya falsafa kwa ujumla.
 
Kifupi hakuna roho
Ila wajinga wachache wa kale waliinvent ili neno na wajinga wa Sasa kuliendeleza kutokana na uduni wa Sayansi enzi hizo.

Roho ni myth tu na stori za kale la Wahenga.
Hamna shughuli tena hapa. Cha msingi muache kuongelea mambo ambayo hamna Elimu nayo. Jambo dogo tu la Roho tu limekushinda. Vipi kuhusu Mola, hapa nikikuuliza Mola ni nani nanga itapaa.

Nakuacha na faida ya maana ya maana, ili siku nyingine ukiulizwa swali ujue unatakiwa uandike nini au ufanye nini kuhusu maana. Maana ni kuelezea jambo au kitu fulani kuingiza yote yahusuyo kitu hicho na kuzuia yote yasiyo kihusu kitu husika. Hii ndiyo maana ya maana.
 
Naona hujasoma nilicho kiandika. Ulitakiwa ukosoe au uandike kielimu kama nilivyo fanya Mimi. Kwa mtindo huu mnathibitisha ya kuwa mna mtindio wa ubongo kama alivyo sema mtoa mada.

Kifo kinaonyesha au kuthibitisha ya kuwa Roho ipo kadhalika usingizi na mengine mengi.

Sasa Atheist ataweza vipi kuongelea Roho wakati haijui na hawezi kufikiria mambo kwa uhalisia wake na mapana yake ? Kijana una wazimu bila shaka.

Sasa uletewe mara ngapi hiyo maana ?
 
Huwa najifunza adabu na matumizi ya maneno na maana za maneno kabla ya Elimu. Nikitumia tamko/neno kwa mtu ujue nimempa stahiki yake. Mtu akiwa mpumbavu na ukamuita mpumbavu hujamtukana, kwani maana ya Mpumbavu ni yule ambaye hajui na hajui kama hajui.

Jambo ambalo hulijui kuhusu Mimi, ni kuwa kila Elimu ina misingi yake anuai, na mimi nilisoma misingi ya Elimu husika, nimesoma Falsafa kadhalika nimesoma Logic, hizi Elimu zote zimekuja kuharibu katika mambo ya dini, sababu watu waliingiza fikra zao na mitazamo yao kwenye dini. Hili kwetu sisi Waislamu tuliliona na tukalikemea ndiyo maana mafundisho ya Uislamu yako wazi na straight sana, tofauti na dini nyingine ambazo wamefanya falsafa kama Somo msingi katika taaluma zao za kidini.

Kijana huna cha kuniambia kuhusu Falsafa kadhalika Logic, ukitaka uwe mjinga na mvivu wa kufikiri soma au jikite katika Elimu hizo za Falsafa na Logic.

Leteni hoja zenu ikiwa nyinyi mnasema ukweli.
 
Mungu ndio anachagua jinsia?

Ulisoma Biology wapi ndugu?

Mungu anakaa na baraza lake wanachagua Bwana Uledi tumpe jinsia ya kiume leo,tupige kura,50 kwa 10,imepita hiyo!

Biology ulisoma chooni basi

World ni chaotic,mengine unayoongea ni mavi matupu,maana vinapingana na experiments scientific tulizofanya shule na kujihakikishia!
 
Its so strange kama hutaki majadiliano na watu wenye mawazo tofauti na wewe

Kama tungekua wote tuna mawazo kama yako basi mjadala usingekua na maana

Mimi mjinga,according to your own evaluation...which is fine

Mola ni mavi gani?Unamjua wewe,usije generalize unachoamini wewe!

Una elimu gani ndugu?Maana una mshumaa wakati you are looking at the sun!
 
Siyo sitaki majadiliano na watu wengine, sitaki majadiliano na wewe kwa sababu una sifa nilizo zitaja.

Wengine huoni navyo jadiliana nao humu ndani.

Kazi yangu nimemaliza.
 
Ujanja wao wakikutana ila kwenye ndoa ni wajinga mnoo zimechomoka
 
Siyo sitaki majadiliano na watu wengine, sitaki majadiliano na wewe kwa sababu una sifa nilizo zitaja.

Wengine huoni navyo jadiliana nao humu ndani.

Kazi yangu nimemaliza.
Hutaki majadiliano na mimi,still unajadiliana na mimi,upo confused!

Huwezi jigeuza mganga na kuanza kubuni eti "sijasoma",you dont know me!Hujui nimesoma wapi au unapima watu wirelessly?

The funny thing is,huenda wewe ndio hujasoma.....told you,umeshika mshumaa unaona mshumaa wako ndio the shit,kumbe you staring to the sun!

Huna lolote,you are scared of people with sharper ideas than yours!
 
Poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…