Atheists wana mtindio wa ubongo

Hilo sina elimu nalo. Nacho jua ukifa kuna maswali matatu kila mtu ataulizwa, ila lugha itakayo tumika haijatajwa.

Lakini kwa Allah hili ni jambo dogo sana huenda kila mtu akaulizwa kwa lugha yake sababu Allah ndiyo ameziumba hizi lugha.
Hahahah[emoji23], Mkuu vipi una experience ya kifo au unajiandikia tu chochote kile?
 
Dadekiii... nyie watu wa dini mnapenda kutufunga kamba bwanaaa... kwamba allah kaumba lugha zote hizi? Ziliumbwa kwa siku moja zote? Kiswahili kimekuepo tokea lini, unajua?

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalizo humu Kuna watu wjainga sana na wewe ni miongoni mwao. Unapo kanusha jambo hakikisha unalikuta na unajibu sahibi kinyume chake. Huu utoto fanyeni na watoto wenzenu, msilete katika mijadala ya kielimu kama hii.

Anasema Allah aliye juu :

13. Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari. (al-Hujirat : 13)

Sasa wewe uje uonyeshe uongo wa hiki nilichokiandika.
 
Hahahah[emoji23], Mkuu vipi una experience ya kifo au unajiandikia tu chochote kile?
Unajuaje ukweli wa mambo yaliyo fichikana ? Sharti lazima ume yadiriki au ?

Mimi siko kama nyinyi kuandika tu ilimradi. Hata swali ulilouliza ni swali la kitoto sana, linaonyesha mchanga katika mambo haya, yaani huna Elimu kabisa. Sasa jibu swali nililo kuuliza.
 
Ndio kitu mnaishia kusema icho. Mkishindwa hoja mnaanza kuita watu wajinga wakat wajinga wa kwanza ni nyie na miungu yenu hio ya dhahania... hamna proof yyte zaid ya hivo vitabu mnaviita vitakatifu ambavyo pia mnajidanganya kuhusu nani aliviandika.

Dini zenu zimejaa chuki, vitisho, ubaguzi.. mtu mwenye akili hawez amino huo upuuz wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongo huu hapa, lugha zimeendelea kuzaliwa kila mara. Na zimetengenzwa na binadamu sisi wenyew na sio huyo mythical being wenu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza weka akilini katika hili hakuna wa kunishinda hoja wala wewe kuwa na hoja.

Nilisha waambia hivi tunapoweka aya mnatakiwa mzisome na mzitafakari siyo mnaruka ruka tu kama hivi.

Huwa nawauliza hivi "What actually Constitutes proof ?". Elezeni ili hivi tunavyo viweka visiwe ushahidi.

Kingine haswaa Qur'aan na Hadithi vyote vimedhibitiwa siyo nyinyi Leo hii tukiwataka mtuelezee habari za Wanasayansi wa miaka 600 mbele kwa ushahidi mtashindwa kutoka, sababu hamjui kudhibiti mambo.

Nimecheka sana, kijana unapokosa hoja Bora utulie au usome walicho andika wenzako huenda ukafaidika. Sasa hii aya ya mwisho inathibitisha ugonjwa wako wa akili na huna hoja. Unalia lia.
 
Uongo huu hapa, lugha zimeendelea kuzaliwa kila mara. Na zimetengenzwa na binadamu sisi wenyew na sio huyo mythical being wenu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Andiko liko wazi, shida yenu hamsomi mkaelewa, aya imetaja makabila haijafunga idadi maalumu wala kuweka ukomo. Kwahiyo hata zikizalikaja lugha nyingine ujue Allah ameziumba na ametaka ziwepo.

Aya Iko wazi sana. Bado hujaonyesha uongo. Ili uonyeshe uongo ulitakiwa useme hakuna mataifa, hakuna makabila. Ukiambiwa makabila ujue ndiyo lugha hizo.
 
Ni sawa na mm nisema kesho utaamka ukiwa hai, na kesho iwe ivo afu useme nimekutabiria uhai. Smh[emoji2365]
Alietunga icho kitabu alikua tyr kashayaona hayo mambo kua yapo. Hakuna cha allah wala yahweh wala nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unahoja wapi ww. Hoja zenu zinashindwa tu pale mtu akisema 'prove it' au mwambie mungu wako aje athibitishe uwepo wake mwenyewe. Why umtetee ww?

Kwahiyo huyo mtunzi aseme kwamba ameyaumba hayo makabila bila shaka unakusudia mtunzi ni mwanadamu ? Tupe faida hapa.

Tuambie mtunzi wa hiki kitabu ni nani ? Na ilikuwa lini ?
 
Unahoja wapi ww. Hoja zenu zinashindwa tu pale mtu akisema 'prove it' au mwambie mungu wako aje athibitishe uwepo wake mwenyewe. Why umtetee ww?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mola wetu hafanyi jambo kwa kuambiwa ana amua mwenyewe na ameshatuumba katika umbile la kutambua uwepo wake, ndiyo maana huwa tunasema wanao mpinga Mola ni wale wote wasio fikiria kwa undani na walio potoka kwa kuukataa ukweli wa wazi.

Swali nimeuliza uthibitisho ili uwe uthibitisho unatakiwa uwe na sifa gani ?

Kingine Mola wetu hatetewi, bali anaelezewa ka alivyo jielezea yeye au kama alivyoelezewa na mitume wake. Kila kitu alishakiweka wazi hakuna haja ya hayo unayo yataka.
 
Kwahiyo huyo mtunzi aseme kwamba ameyaumba hayo makabila bila shaka unakusudia mtunzi ni mwanadamu ? Tupe faida hapa.

Tuambie mtunzi wa hiki kitabu ni nani ? Na ilikuwa lini ?
Utunzi wa hicho kitabu clearly unaona ni binadamu tena aliekua mashariki ya kati asie na ujuzi kuhusu maeneo mengine. Ukiangalia kwanzia wanavo describe dunia nk..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uthibitisho wa kwamba yupo! Hakuna uthibitisho wowote...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uislamu unautambua ukristo au dini nyingine kwa mujibu wa Quran?
 
Hilo sina elimu nalo. Nacho jua ukifa kuna maswali matatu kila mtu ataulizwa, ila lugha itakayo tumika haijatajwa.

Lakini kwa Allah hili ni jambo dogo sana huenda kila mtu akaulizwa kwa lugha yake sababu Allah ndiyo ameziumba hizi lugha.

Maswali matatu kila mtu ataulizwa, wapi huko?
Kama lugha itayotumika haijatajwa basi ni kwa vipi uamini kwamba maswali yatakuwa ni hayo hayo matatu tu ambayo wewe najua utasema yamefundishwa/yametoka kwenye uislam?
Kama kila mtu ataulizwa kwa lugha yake maana yake hata mafunzo yatakuwa yapo tofaut kumuhusu huyo mungu mana si tupo toka mataifa mbali mbali mpaka yale ambayo uislam haukuweza kutoboa kule!?

Naomba majibu.
 
Hilo sina elimu nalo. Nacho jua ukifa kuna maswali matatu kila mtu ataulizwa, ila lugha itakayo tumika haijatajwa.

Lakini kwa Allah hili ni jambo dogo sana huenda kila mtu akaulizwa kwa lugha yake sababu Allah ndiyo ameziumba hizi lugha.
Duuh jamaa Muongo wewe.
 
Jamaa unaforce ukubalike ukipewa challenge unatukana
 
Since time immemorial in my stay in Tanzania, I have never seen an atheist but rather some individuals with poor reasoning or some folks who lack fundamental knowledge in what they beleive.
 
Since time immemorial in my stay in Tanzania, I have never seen an atheist but rather some individuals with poor reasoning or some folks who lack fundamental knowledge in what they beleive.
That doesn't mean there're no atheists tho...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…