Kentsuhcy Wrudate
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 1,075
- 653
Una uhakika umepost kwenye uzi sahihi?Ujanja wao wakikutana ila kwenye ndoa ni wajinga mnoo zimechomoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika umepost kwenye uzi sahihi?Ujanja wao wakikutana ila kwenye ndoa ni wajinga mnoo zimechomoka
Mungu ndio anachagua jinsia?
Ulisoma Biology wapi ndugu?
Mungu anakaa na baraza lake wanachagua Bwana Uledi tumpe jinsia ya kiume leo,tupige kura,50 kwa 10,imepita hiyo!
Biology ulisoma chooni basi
World ni chaotic,mengine unayoongea ni mavi matupu,maana vinapingana na experiments scientific tulizofanya shule na kujihakikishia!
Poa.U still conversating....u are a walking contradiction....and you will reply this shit!
Kama ilivyokuwa hakuna roho na ndio ilivyo hakuna Mungu.Hamna shughuli tena hapa. Cha msingi muache kuongelea mambo ambayo hamna Elimu nayo. Jambo dogo tu la Roho tu limekushinda. Vipi kuhusu Mola, hapa nikikuuliza Mola ni nani nanga itapaa.
Nakuacha na faida ya maana ya maana, ili siku nyingine ukiulizwa swali ujue unatakiwa uandike nini au ufanye nini kuhusu maana. Maana ni kuelezea jambo au kitu fulani kuingiza yote yahusuyo kitu hicho na kuzuia yote yasiyo kihusu kitu husika. Hii ndiyo maana ya maana.
Elimu Gani hiyo uliyotumia?Naona hujasoma nilicho kiandika. Ulitakiwa ukosoe au uandike kielimu kama nilivyo fanya Mimi. Kwa mtindo huu mnathibitisha ya kuwa mna mtindio wa ubongo kama alivyo sema mtoa mada.
Kifo kinaonyesha au kuthibitisha ya kuwa Roho ipo kadhalika usingizi na mengine mengi.
Sasa Atheist ataweza vipi kuongelea Roho wakati haijui na hawezi kufikiria mambo kwa uhalisia wake na mapana yake ? Kijana una wazimu bila shaka.
Sasa uletewe mara ngapi hiyo maana ?
Elimu zote zimekuja kuharibu katika mambo ya dini, sababu watu waliingiza fikra zao na mitazamo yao kwenye dini.Huwa najifunza adabu na matumizi ya maneno na maana za maneno kabla ya Elimu. Nikitumia tamko/neno kwa mtu ujue nimempa stahiki yake. Mtu akiwa mpumbavu na ukamuita mpumbavu hujamtukana, kwani maana ya Mpumbavu ni yule ambaye hajui na hajui kama hajui.
Jambo ambalo hulijui kuhusu Mimi, ni kuwa kila Elimu ina misingi yake anuai, na mimi nilisoma misingi ya Elimu husika, nimesoma Falsafa kadhalika nimesoma Logic, hizi Elimu zote zimekuja kuharibu katika mambo ya dini, sababu watu waliingiza fikra zao na mitazamo yao kwenye dini. Hili kwetu sisi Waislamu tuliliona na tukalikemea ndiyo maana mafundisho ya Uislamu yako wazi na straight sana, tofauti na dini nyingine ambazo wamefanya falsafa kama Somo msingi katika taaluma zao za kidini.
Kijana huna cha kuniambia kuhusu Falsafa kadhalika Logic, ukitaka uwe mjinga na mvivu wa kufikiri soma au jikite katika Elimu hizo za Falsafa na Logic.
Leteni hoja zenu ikiwa nyinyi mnasema ukweli.
Nikikwambia hawa watu ni wajinga mkuu uwe unanielewa.Mungu ndio anachagua jinsia?
Ulisoma Biology wapi ndugu?
Mungu anakaa na baraza lake wanachagua Bwana Uledi tumpe jinsia ya kiume leo,tupige kura,50 kwa 10,imepita hiyo!
Biology ulisoma chooni basi
World ni chaotic,mengine unayoongea ni mavi matupu,maana vinapingana na experiments scientific tulizofanya shule na kujihakikishia!
Kwa sababu hawezi kujibu hoja zako.Siyo sitaki majadiliano na watu wengine, sitaki majadiliano na wewe kwa sababu una sifa nilizo zitaja.
Wengine huoni navyo jadiliana nao humu ndani.
Kazi yangu nimemaliza.
Hivi unajua kupitia IVF unaweza kuchagua uzae mtoto wa jinsia gani? Unaweza ukaelezea hapa mungu anadecide vp jinsia ya mtoto...?Badala ya kujibu hoja au kuhoji kama mtu mstaarabu unajibu kama mtu unayeendeshwa na mihemuko ya instincts kama mbuzi aliyekunywa maji ya choo cha stendi ya mabasi.
Eti unahoji Mungu alikaa wapi kuchagua jinsia!!?, Swali la kipumbavu halafu unajifanya umeenda shule!!---ulienda shule kusomea ujinga!!.
Mungu ndiye "causa causans", automation yote inayopelekea mimba kutunga ndani ya tumbo la mama kaifanya yeye hivyo indirectly ni yeye ndiye anayechagua jinsia na kila kitu kinachohusiana na mtoto akiwa tumboni, chukua mfano huu; mtu akiunda na kuamrisha a programmed Robot kuua tukisema huyo aliyeliamrisha kuua ndiye muuaji tutakosea??!!.
Hivyo process nzima ya utungaji mimba ni robotic planned, who then commanded "the robot" meaning the outomation to do such a disciplanary marvellous planned job in the womb?? It is the Super being namely God whose one attribute among many is "unseen" (asiyeonekana kwa macho).
Haiwezekani a "conscious" marvelous disciplined job to come out of chaos, it never ever happened and it will never happen chaos (vurumai) itengeneze kitu chenye nidhamu, kama chaos itaunda a disciplinary stuff hiyo ni sawa na kipofu aunde saa.
Sasa usilete ujinga wako wa Biology hapa kwani Biology ndio muumbaji??-- Biology inatuwezesha kujua maumbile hai na sifa zake pia inatuwezesha kujua Muumbaji wa hivyo viumbe hai kwamba yupo naye ni Mungu.
Haka kajamaa kamerudi Tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Badala ya kujibu hoja au kuhoji kama mtu mstaarabu unajibu kama mtu unayeendeshwa na mihemuko ya instincts kama mbuzi aliyekunywa maji ya choo cha stendi ya mabasi.
Eti unahoji Mungu alikaa wapi kuchagua jinsia!!?, Swali la kipumbavu halafu unajifanya umeenda shule!!---ulienda shule kusomea ujinga!!.
Mungu ndiye "causa causans", automation yote inayopelekea mimba kutunga ndani ya tumbo la mama kaifanya yeye hivyo indirectly ni yeye ndiye anayechagua jinsia na kila kitu kinachohusiana na mtoto akiwa tumboni, chukua mfano huu; mtu akiunda na kuamrisha a programmed Robot kuua tukisema huyo aliyeliamrisha kuua ndiye muuaji tutakosea??!!.
Hivyo process nzima ya utungaji mimba ni robotic planned, who then commanded "the robot" meaning the outomation to do such a disciplanary marvellous planned job in the womb?? It is the Super being namely God whose one attribute among many is "unseen" (asiyeonekana kwa macho).
Haiwezekani a "conscious" marvelous disciplined job to come out of chaos, it never ever happened and it will never happen chaos (vurumai) itengeneze kitu chenye nidhamu, kama chaos itaunda a disciplinary stuff hiyo ni sawa na kipofu aunde saa.
Sasa usilete ujinga wako wa Biology hapa kwani Biology ndio muumbaji??-- Biology inatuwezesha kujua maumbile hai na sifa zake pia inatuwezesha kujua Muumbaji wa hivyo viumbe hai kwamba yupo naye ni Mungu.
Hivi unajua kupitia IVF unaweza kuchagua uzae mtoto wa jinsia gani? Unaweza ukaelezea hapa mungu anadecide vp jinsia ya mtoto...?
Sent using Jamii Forums mobile app
IVF inaweza kutumika kwa wale wanaopata shida ya kushika ujauzito.Twende kwenye mfano hai, wewe mwenyewe wazazi wako walichagua jinsia yako kupitia IVF??--- kimsingi hiyo technic ni kuingilia mfumo wa asili aliouweka Mungu katika womb ya mama, na mimi sizungumzii juu ya any human interruption in the process of conception
Shida yenu vijana si wa kweli. Yaani unadai hakuna Roho na huijui roho ni nini, Halafu unahitimisha kirahisi na kitoto ya kuwa ilivyo hakuna basi hakuna Mungu. Huu no uvivu wa kufikiri.Kama ilivyokuwa hakuna roho na ndio ilivyo hakuna Mungu.
Mungu ni nini?
Mungu ni nani?
Thibitisha kama Mungu yupo
Zama za ujinga ni zama gani hizo ?Elimu Gani hiyo uliyotumia?
Au kwa kitabu kilichoandikwa zama za ujinga?
Si kweli, sababu Falsafa kama fani imeikuta Dini. Hao kina Thales, kina Homeri, kina Socrates, Plato, Aristoto, Democritus, Anaksimenes, (Wanafaldafa wa kale Magharibi, ambao Falsafa imeasisi wa huko na Logic) na wengine wamekuja wamekuta kina Musa, Sulayman wameshatangulia kitambo sana.Jibu: unafahamu Kwamba dini ni tawi mojawapo la falsafa?
Unaposema watu waliingiza fikra zao, unafahamu hata huyo mtume unayemwamini alikuwa anatafakari na kuingiza fikra zake kwa unachokiamini ukijua ni absolute truth.
Mimi nina uwezo wa kuikosoa Falsafa na kukufanya wewe ukaonekana ni mjinga katika wajinga walio pea. Yaani Wanafalsafa wote walikuwa wajinga, sababu hawakuwa na ala(silaha/nyenzo) sahihi za kuwafikisha katika kuujua ukweli au kuupata ukweli. Ndiyo maana Wanafalsafa wa kale wa magharibi walitofautiana juu ya nini chanzo cha maisha na ulimwengu.Sasa hapa Utakuwa unapinga nini?
Kifupi ni watu wasio komaa akili tu na uwezo mdogo wa fkira ndio wataikataa falsafa maana ukiikataa falsafa pia umeikataa dini.
Matawi ya falsafa ni pamoja na Theology, Metaphysics, Axiology, Logic, Aesthetic, Epistemology, Ethics na mengineyo.
Maswali yako ni yapi?Si
Shida yenu vijana si wa kweli. Yaani unadai hakuna Roho na huijui roho ni nini, Halafu unahitimisha kirahisi na kitoto ya kuwa ilivyo hakuna basi hakuna Mungu. Huu no uvivu wa kufikiri.
Kila uchao tunawathibitishia Mungu yupo.
Hapa nakuthibitishia ya kuwa Mola yupo, ukiona sijathinitisha, utaniambia wewe ili uthibitisho uwe, unatakiwa ukidhi vigezo gani. :
Anasema Allah aliye juu kuwajibu wakana Mungu sababu haya maswali alisjaulizwa Mtume, na walikuwepo walio sema hakuna Mungu.
35. Au wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote, au ni wao ndio waumbaji? (at-Tur : 35)
Sasa uje na majibu ya hayo maswali hapo juu.
Shukrani.
Si kweli, sababu Falsafa kama fani imeikuta Dini. Hao kina Thales, kina Homeri, kina Socrates, Plato, Aristoto, Democritus, Anaksimenes, (Wanafaldafa wa kale Magharibi, ambao Falsafa imeasisi wa huko na Logic) na wengine wamekuja wamekuta kina Musa, Sulayman wameshatangulia kitambo sana.Si kweli, sababu Falsafa kama fani imeikuta Dini. Hao kina Thales, kina Homeri, kina Socrates, Plato, Aristoto, Democritus, Anaksimenes, (Wanafaldafa wa kale Magharibi, ambao Falsafa imeasisi wa huko na Logic) na wengine wamekuja wamekuta kina Musa, Sulayman wameshatangulia kitambo sana.
Hapa ndipo huwa mnapo kosea. Hivi nguvu za kumuelezea mtu msiye mjua huwa mnaipata wapi ? Yaani kuongelea jambo usilokuwa na Elimu nalo. Hiki kitendo kinawafanya muonekano mna utindio wa Ubongo.
Mtume hajawahi kuingiza fikra zake katika Qur'aan, sababu alikuwa haongei kwa matamanio yake isipokuwa ufunuo toka kwa Allah.
Nakuomba ututhibitishie ya kuwa Mtume alikuwa anaweka fikra zake.
Mimi nina uwezo wa kuikosoa Falsafa na kukufanya wewe ukaonekana ni mjinga katika wajinga walio pea. Yaani Wanafalsafa wote walikuwa wajinga, sababu hawakuwa na ala(silaha/nyenzo) sahihi za kuwafikisha katika kuujua ukweli au kuupata ukweli. Ndiyo maana Wanafalsafa wa kale wa magharibi walitofautiana juu ya nini chanzo cha maisha na ulimwengu.
Au nitakupa kazi uanzishe mada pweke uonyeshe ubora na ukamilifu wa Falsafa Kisha nikuonyeshe uduni na udhaifu wa Falsafa.
Labda utakuwa umezikataa dini nyingine ila siyo Uislamu. Sababu hizo dini nyingine zimekuwa na udhaifu kwa kurakibisha fikra za watu na kuzifanya ndiyo dini. Falsafa ni fikra za watu waliopotoka katika kufikiri.
Haya nayajua na hivi juzi nilikuwa nasoma kitabu hiki :
Maswali yako ni yapi?
Kuluka Luka kwa maharage ndio kuiva kwake hakuna tatizo.
Hapo nimethinitisha kijana, shida hamfikirii. Jibu hayo maswali uone kama sijathinitisha.Sasa hapo umethibitisha nini?
Nikisema hujui hata ukisemacho nitakuwa nakosea?
Kijana ukisema hakuna Mungu, hayo ndiyo maneno matupu, ila niliyo kunukuu si maneno matupu, soma kilichoulizwa uelewe maswali yanataka nini na ujue kwanini yaliulizwa hayo maswali. Hivi ndivyo wanaume tunavyo hoji, siyo juu juu tu kama mnavyo fanya nini.Ikiwa kila mtu atasema tu maneno matupu ndio uthibitisho? Sasa Kuna tofauti gani na asemaye hakuna Mungu?
Kijana soma ulichokiandika kuhusu roho na nilicho kiandika Mimi kuhusu roho, uone umejibu swali la Roho ni nini ?Hujaridhika na Maelezo kuhusu Roho ukiwa muungwana unatakiwa uje na Maelezo mbadala yanayoelezea roho ni nini?
Hatuna "utaluka Luka" kwenye Kiswahili. Mwanzo nilihisi ni kosa la kiuandishi nikakupa ushuru, kumbe hujui kuandika "utaruka ruka" hii ndiyo sahihi.Ila amini nakwambia utaluka Luka na kuishia kuitaja pumzi au nothing hakuna Cha ziada.
Mungu ni kitu.Sasa nakuuliza tena:
Mungu ni nini?
Mungu ni nani?
Thibitisha kama yupo?
Wewe naona hufai kujadiliana na Mimi kuhusu hili, ngoja nikufundishe Sasa, kwa mtindo wa maswali. Lini watu walianza kuniuliza wametoka wapi ? Tumeumbwa au la ? Hapa uweke na ushahidi.Ukiulizwa hili swali na kusema ni dini tayari umepotoka.
Falsafa ndio ilianza kabla ya falsafa binadamu hakuwa na dini.
Kitendo Cha kuanza kujiuliza tumetoka wapi? Tumeumbwa au la? Kwa nini tuabudu tayari umeshaingia kwenye falsafa.
Kifupi dini ni tawi la falsafa linalodili na Imani,Malaika, Mungu na n.k