Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

Usidharau gari za kijapan, Technology imebadilika kuna gari za Japan zinamkalisha mzungu
European cars wanamiliki watu wachache hapa nchini sioni sababu ya kufananisha na TOYOTA tukiongelea kwa magari ya kijapani crown ni babukubwa
 
Hizo speed lazima zifike vinginevyo tayari kunakuwa kuna shida kwenye gearbox au engine. So far tunanunua magari used ambayo tayari yameshapungua efficiency NOTE THAT ALSO
ok nunua vw polo mpya 1200cc 68hp afu fika hata 180 ha inawezekana sembuse 240kph ....note that pia sio gari zote zinafika spid ilioko kwa dash
 
unaongelea 3S yenye hp ngap labda maana 3S ipo sokoni kitambo na kuna toleo kama 5 au sita hivi mfano ya 90 had 99 ina hp 170 while 3GR ina 228hp na mwenzake 4GR ana 210+
 
unaongelea 3S yenye hp ngap labda maana 3S ipo sokoni kitambo na kuna toleo kama 5 au sita hivi mfano ya 90 had 99 ina hp 170 while 3GR ina 228hp na mwenzake 4GR ana 210+
Mkuu nimezungumzia 3SGE ipo kwenye post hapo, nimeitaja specifically ni 3SGE sijasema 3s halafu nkaondoka tu. Halafu usijekufikiri kuwa nimesema kuwa hio ipo powerful kuliko hiz GR engines, nimesema zinatoka kijasho tu, kwa maana kuwa hazi tishi kiivo.
 
Ndoto yako nzuri kijana, hapo ukipata mil 200, kitu cha kwanza ndinga crown alafu itakayo bakia hujui cha kufanya , SAFI SANA
 
Ili kuhakikisha kuwa hupitwi na gari nyingine ukiwa unaenda safari za mbali na uko kwenye highway unatakiwa uwe aunakimiba angalau kwenye spidi ya km140 kwa saa. Hiyo spidi ya 125 kwa saa hata leaner anaweza akaifikia.
 
3sge ni engine babe sana na ina advanced power rpm 7300...
we njoo na 4gr nakugomea kuovertake..
3sge iko vizuri hasa uikute kwenye tezza is200
 
3sge ni engine babe sana na ina advanced power rpm 7300...
we njoo na 4gr nakugomea kuovertake..
3sge iko vizuri hasa uikute kwenye tezza is200
Hichi ulichosema ungemreply uyo niliemreply mimi. Naelewa hizi vitu vizuri. Kuna watu wanafikiri Crown ikiandikwa Athlete tu basi hio ni moto wakati kuna nyengine za kawaida tu hazina ubavu wowote.

By the way, Hakuna Tezza is200, na 3sge ipo kwenye Toyota Altezza tu, Lexus is200 inatumia 1gfe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…