Mkuu BUgatti the fastest inakamua mpaka 520 MPH. Hiyo kitu ingine. Shida sisi huku tumezoea kununua old cars! Na zaidi sana za Japan ambazo ni KPH 180 sanasana itakuwa Na 240. Tembeleeni hats mitandao jamani muone Magari!!Acha kutudanganya mkuu, 320mph hiyo ni bugatti chiron au?
Sawa Mkuu ni barabara ipi umetembea 260Mph hapa Tanzania ? Hiyo UK yenyewe huwezi tembea hiyo speed kwenye M9 au M11.Mimi sio msukuma Bali niliishi ujerumani Na UK ndio sababu nilinunua huko hill gari
Sio mzima wewe.......volvo safety yao ni star ngapiVolvo ndio wanatengeneza gari zenye usalama wa hali ya juu.
wewe ni mshamba mkuu ndo wale wale wako na vw golf vya cc 1300 spid 260 afu anakwambia sijawah futa kwa akil yako ukitaka futa unaweza??? hata upewe road imenyooka ya km 50 hufik kwa sababu za ki science....naomba specs za hiyo gari....afu usikanushe ulisema hujawah futa 320mph ulifikishaga tu 260mph = 418kph ha ha JF bhnaSio speed ya barabara Bali speed ya gari. Na nimesema sijawahimaliza. Nafikiri hapo tuko sawa
Mkuu BUgatti the fastest inakamua mpaka 520 MPH. Hiyo kitu ingine. Shida sisi huku tumezoea kununua old cars! Na zaidi sana za Japan ambazo ni KPH 180 sanasana itakuwa Na 240. Tembeleeni hats mitandao jamani muone Magari!!
Acha uongo wewe, Katika history hakuna mercedes iliyowahi kutengenezwa ikiwa na speedometer ya hadi 320mph. Max speedometer ever recorded ni 230mph (370kph) na the highest in automobile in history ni 260mph (435kph).Hehehe nimecheka kimyakimya sasa tulio Na Mercedes Benz S class convertible speed 320 MPH sio KPH utasemaje? Tangu nirudi Tanzania sijawahi kumaliza sana sana naishia 260mph . kuna siku nilikuwa nakwenda mwanza Na ilikuwa j2 sasa hizi vx Na gx za serikali nilizitesa!! Hako ka crown ulikokaona kanawatisha akina vits
Haha.Mkuu BUgatti the fastest inakamua mpaka 520 MPH. Hiyo kitu ingine. Shida sisi huku tumezoea kununua old cars! Na zaidi sana za Japan ambazo ni KPH 180 sanasana itakuwa Na 240. Tembeleeni hats mitandao jamani muone Magari!!
Spidi na nguvu nenda ujerumani,,
Ah!!! Tunaongelea nini??Acha kukariri mkuu,kuna ndinga kali za mjapan ambazo ktk soko la Afrika haziingii zinaishia ulaya na marekani zinacompete na huyo mjerumani unayemjua wewe!!
Kwa Usalama hapa Tanzania tungetumia gari za Volvo maana kipaumbele katika gari zao ni usalama kwanza.
Kuna watoto walikuwa na Alteza hawakujua kama huu moto ni hatari niliwapita na kuwatumia hii picha hawakujaribu tena kufuata.View attachment 783802
Siku moja tukiwa na hiyo Crown tulitaka ligi na Voksiwagen tulikuwa tunaenda Arusha ilitupita Mkata wala hatukuwahi kuiona had Ieo
VW aina gani mkuu!
Mi najua tu kuendesha siyajui sana magari ila ni ile iliyofanana umbo kama Niss
Mi najua tu kuendesha suyajui sana magari, kakini ni ile inayofanana na Nissan Murano kwa mbali
mkuu umenena kweli ingawa kuna wabishi kwenye huu uzi watakukatalia hii yaani kuna watu wana chuki na VW hatareeUnajifariji tu!!
GTI VW speed 260 ndio habari ya mjini!!
Huyo athlete au Royal hawez ifuata iwe tambalale,mlimani au Mteremkoni
Mkuu ni kweli yaani vitoyota ka belta, vitz, yaris, isit ni laini mnooo na ndani vina maplastic ambayo ni laini noooNaungana nawe mkuu!Kwa Kuongezea Toyota labda kuanzia SUV
lakini hizi zote Sedan na Hatchback hakuna kitu!
usalama kwa gari nyingine mfano BMw,Volvo,VW,AUDI, ni mkubwa hata iwe Sedan au Hatchback
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Siku ingine ukiwapita na hiyo speed kutangulia kaburini usisahau kuwatumia picha tena
Bro usitudanganye bana sisi sio watoto wadogo kiasi hichoMkuu BUgatti the fastest inakamua mpaka 520 MPH. Hiyo kitu ingine. Shida sisi huku tumezoea kununua old cars! Na zaidi sana za Japan ambazo ni KPH 180 sanasana itakuwa Na 240. Tembeleeni hats mitandao jamani muone Magari!!
Hahahaaa!!!!!Utanunuaje Mercedes Benz S Class convertible ?
Bila shaka wewe ni msukuma samahani lakini .
320MPH au KPH ? 260MPH ni barabara ipi ya Tanzania unatembea hiyo speed ?
Braza nenda jukwaa la Utani/jokes huku hapakufai aisee.Hehehe nimecheka kimyakimya sasa tulio Na Mercedes Benz S class convertible speed 320 MPH sio KPH utasemaje? Tangu nirudi Tanzania sijawahi kumaliza sana sana naishia 260mph . kuna siku nilikuwa nakwenda mwanza Na ilikuwa j2 sasa hizi vx Na gx za serikali nilizitesa!! Hako ka crown ulikokaona kanawatisha akina vits