Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

hii migari ya japan wanamix ENGINE's mbalimbali hasa hasa hizi SPORT CARS hazinaga permanent Engine.... yaani gari ikiwa used tu.. ENGINE kwa kias kikubwa utakuta imechezewa au imebadilishwa ndio maana kunatokea mikanganyiko mbalimbali. unaweza kuweka ENGINE yoyote unayoitaka ilimradi ifiti katika Bonnet tu.. kuna jamaa aliifunga Mark x engine ya diesel kama sikosei ya cruiser sema sikumbuki ni cruiser ipi.. yupo DODOMA huko..
Duh Engine ya cruiser inafit kwenye mark x?
 
Gari zenye engine ndogo sikuzote huwa zinatetemeka zikifikisha speed 120 nakuendelea
Kanissan Note kangu cc 1500 nilikuwa natabia ya kubonyeza mapaka 140 kph....na kanatulia balaa barabani...kana balance ya kutosha..

Ila kwa sasa nina familia huo mchezo nimeacha.....nimejitahidi saaan 120kph...hapo ni safari ya mbali.
NAWASILISHA
 
Inawezekana maana watu wanafanya modification mpaka unashangaa.

Mwaka jana nilikuwa Mwanza Ziwa Victoria niliona mtu kafunga engine ya Land Rover 109 kwenye boti ya abiria huko visiwani nadhani kati ya kisiwa cha Nkome na Muleba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tanzania tanzania...nakupenda kwa moyo wote
 
Kanissan Note kangu cc 1500 nilikuwa natabia ya kubonyeza mapaka 140 kph....na kanatulia balaa barabani...kana balance ya kutosha..

Ila kwa sasa nina familia huo mchezo nimeacha.....nimejitahidi saaan 120kph...hapo ni safari ya mbali.
NAWASILISHA
Familia ndio kila kitu mkuu
 
Inawezekana maana watu wanafanya modification mpaka unashangaa.

Mwaka jana nilikuwa Mwanza Ziwa Victoria niliona mtu kafunga engine ya Land Rover 109 kwenye boti ya abiria huko visiwani nadhani kati ya kisiwa cha Nkome na Muleba.

watu mafundi.. INAFAA Tutembee tuone MENGI kwa kweli
 
Sijabisha...najua mbongo hakuna kinachomshinda kuchakachua..

kama sanduku la kura liliibiwa mchana kweupe na likarudishwa mchana kweupe....unadhani ni jambo gani mbongo asiloliweza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

mbongo ana akili za kujiongeza,ila akili zingine za kuvumbua kitu kipya HANA kabisa
 
Sijabisha...najua mbongo hakuna kinachomshinda kuchakachua..

kama sanduku la kura liliibiwa mchana kweupe na likarudishwa mchana kweupe....unadhani ni jambo gani mbongo asiloliweza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bangi mbaya sana!!
 
inadepend ulikuwa na gari gani

crown za kwanzia 2005 zinatumia GR engines yaani 4GR-FSE which is 2.5 ltr V6 na 3GR-FSE/FE which is 3.0 ltr V6

the same engine inayopatikana kwenye mark x

so ukiwa na mark x na crown hapo dereva ndio atafanya moja ionekane noma zaidi ya mwenzake though crown ipo stable zaidi kwenye kukata kona ukiwa speed kali zaidi ya mark x

chengine ni kwamba imekuwa electronicaly speed limited to 180 unless ufanye ECU remap ndio utaweza kwenda above 180 coz engine inaruhusu the 4GR wit 210 bhp when mapped can go 240kph but the 3GR can kick 260 when mapped

i like the car sababu ya engine yake 4GR na dada ake 3GR ni engine kubwa zina nguvu ila they run smooth na hata fuel consumption ni nzuri kama ukiendesha kwa adabu
 
Mi najua tu kuendesha siyajui sana magari ila ni ile iliyofanana umbo kama Niss

Mi najua tu kuendesha suyajui sana magari, kakini ni ile inayofanana na Nissan Murano kwa mbali
Hio ni VW Touareg mashine kubwa 3100 CC
 
Inawezekana maana watu wanafanya modification mpaka unashangaa.

Mwaka jana nilikuwa Mwanza Ziwa Victoria niliona mtu kafunga engine ya Land Rover 109 kwenye boti ya abiria huko visiwani nadhani kati ya kisiwa cha Nkome na Muleba.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,nakumbuka nilifunga engine ya Toyota Carina kwenye vw touran.Kazi ya modifications iliyofanyika haikua ya kitoto.
 
Back
Top Bottom