ArchAngel
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 4,513
- 3,757
Duh Engine ya cruiser inafit kwenye mark x?hii migari ya japan wanamix ENGINE's mbalimbali hasa hasa hizi SPORT CARS hazinaga permanent Engine.... yaani gari ikiwa used tu.. ENGINE kwa kias kikubwa utakuta imechezewa au imebadilishwa ndio maana kunatokea mikanganyiko mbalimbali. unaweza kuweka ENGINE yoyote unayoitaka ilimradi ifiti katika Bonnet tu.. kuna jamaa aliifunga Mark x engine ya diesel kama sikosei ya cruiser sema sikumbuki ni cruiser ipi.. yupo DODOMA huko..