Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

Sijajua kwanini Magari ya kijerumani yanakuwa na speed 260 na kuendelea tofauti na Japanese cars
 
Kuna siku nilikuwa natoka moro naenda dar nikiwa na hii gari yangu hapo chini njiani nilikuwa nayapita magari kama yameharibika vile hamna aliyenikuta mpaka nafika ubungo

 
Hiyo Carina ikifanyiwa Mapping ya kawaida hiyo Crown Athlete lazima waende sawa au aachwe.

Mimi nina mkubali mjapani maana engine zake kazipa nafasi ya kufanyiwa mapping na zinakubali na kuwa na perfomance kubwa.

Hiyo 5A engine iliyopo kwenye Carina TI ikifanyiwa mapping Crown Athlete yenye 2.5L itanyanyaswa sana.
 
mapping si gharama mkuu? kwa matumizi ya kawaida si bora mtu anunue gari ambalo tayari lina kasi anayoitaka! anyway kwa watu wa rally, racing, n.k idea yako itakuwa nzuri tu!
 
Bora atafute Ti yenye turbo na engine kubwa from Japan
 
Bugatti kanye speed 500kph lina uzito gan?
Gloria[emoji33] [emoji33]
Kama mdau alivosema hapo juu,mkishajua kukanyaga tu mafuta kisa ni automatic ndio mnakimbia,binafsi napenda manual cars kwa safari ndefu ili inikeep busy na napenda automatic kwa trip za mjini tu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bugatti inafika 490kph
asee mzee hiyo kamba naruka !! naaamini na wana JF watairuka we gari gani iliokl bongo inagonga spid hizo hivi unajua hata koenisegg agera haifiki 300mph sa ww ukifikaje 260mph sawa na 418kph road ipi na gari ipi hamna s clacc inagonga hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu 5A ni mashine ngumu Sana mwezi wa 12 mwaka Jana nilifanya Safar ya dar - Mwanza na gari halijasumbua Kwa kitu chochote tena nilipofika Mwanza nilifanya Safar ya kwenda ukerewe kupitia magu,lamadi,bunda Hadi kisorya...
Tar 28 December nimerud bila shida yeyote Hadi dar na gari iko poa Tu
 
Mkuu BUgatti the fastest inakamua mpaka 520 MPH. Hiyo kitu ingine. Shida sisi huku tumezoea kununua old cars! Na zaidi sana za Japan ambazo ni KPH 180 sanasana itakuwa Na 240. Tembeleeni hats mitandao jamani muone Magari!!

A new shit in town
 
Unasemaje eti niwe na v8 halafu wewe GX100 Uniache mkuu hata kama nimelewa

Umemeza mkuu ...ipo mark 2 ya 98 na verosa ya mwsho kutengenezwa inakuja na 1jz gte inasuka 280hp stock hapo haijaguswa popote na v8 og ya diesel inatoa 267hp hata kama hiyo verosa ingekuwa inatoa 220hp kama kina brevis bado iyo v8 haion hapo due to kitu inaitwa power to weight ratio na wala v8 sio kwamba ikakimbia sana hapana zipo gari nyingi za kawaida kabisa tena bei unaagiza haizid milion 18 na zinaweza ila hiyo v8 yako kama imepaki vile ....v8 lenyewe likifika mfano 150kph bado limetulia tofaut labda na verosa itakuwa inaruka ruka ...kifupi v8 labda isumbue suv zingne mfano prado cruza lx nk lakn sio magari madogo kama huamin kachukue hilo v8 weka kwenye runway na gari ingne ndogo afu zitest utanambia
 
Dah wahaya bhana

Eti kikajitijtokeza hicho kicrown

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mapping si gharama mkuu? kwa matumizi ya kawaida si bora mtu anunue gari ambalo tayari lina kasi anayoitaka! anyway kwa watu wa rally, racing, n.k idea yako itakuwa nzuri tu!
Mapping si gharama inategemea na wewe unahitaji nini zaidi.
Millioni moja kwa engine ya 5A unafanya mapping vizuri.
 
Hiyo carina TI ikifanyiwa mapping itazalisha HP ngapi ili iinyanyase athlete?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…