Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

Madalali si ndio wanapandisha Kodi?
Madalali wanakipa chombo chako sifa mbaya na wewe unaamua kuuza kwa bei che. Wao wanataka iwe rahisi kumpata mteja. Sasa akitokea mtu kaskia Crown inauzwa milioni nne huku akiona kwenye mtandao mpk mkononi mamilioni 10+ basi anashawishika kuinunua hio ya nne fasta
 
Duhh SUV tamu mbona nyingi sana..vitu kama Touareg ama Audi ama Fortuner(New model lakini)

huwa napiga hesabu nikigraduate frm Saloon nichague SUV ipi

Unfortunately sizielewi.

Yaani mimi Sedan kama nmerogwa vile.

Kama hizo audi yaani naona ni Bora A series kuliko Q series au hayo Matourage n.k.
 
ivi we unaijua voksiwagen

tuanze ligi kuanzia dsm - mwanza

nakuacha ufike morogoro,, alafu mi ndo naondoka hapa kibamba ccm, tna uhakika tutakula chakula pamoja pale singidani, baada ya hapo utanikuta nyegez lodge nimelala na shem wangu napga push up[emoji16]
Uongo mpaka unachapia wewe utapigaje push up kwa shem wako😂. Niwe na Crown alaf uniache nifike moro wewe ndio uanze safari kutokea Kibamba alaf unikute singida 😂😂 labda na mm nikifika moro nipaki gari pembeni niuchape usingiz lakin sio nikiwa barabaran na crown mnyama
 
Uongo mpaka unachapia wewe utapigaje push up kwa shem wako[emoji23]. Niwe na Crown alaf uniache nifike moro wewe ndio uanze safari kutokea Kibamba alaf unikute singida [emoji23][emoji23] labda na mm nikifika moro nipaki gari pembeni niuchape usingiz lakin sio nikiwa barabaran na crown mnyama

Moro to singida ni 500 km.

Dar to singida ni 672 km.

Dar to moro ni 186 km.

Ukiwa na Crown ukitembelea 100kph flat utatumia 5 hrs toka moro to singida.

Atakaetoka Dar inabidi atembelee 130kph flat ili mfike pamoja.

Kwa uwepo wa magari mengi toka Dar mpaka moro na miundombinu ilivyo chini ya kiwango, kutembea 130kph flat ni uongo.

Ila atakaeanzia Moro kwenda Singida anaweza tembea 150kph flat.

Kufika pamoja itategemea na uzembe wa dereva wa crown atakaeanzia moro.
 
DAR-moro ni kipande cha hovyo, madereva wengi wanachukia hicho kipande kutokana na usumbufu wake hata ukitembea usiku wa manane bado utapata shida Tu...
Hizi speed za 150km/h zinatumika sehemu chache mno
 
Sure. Sijaona barabara za kuendesha 150 kwa zaidi ya saa nzima hapa Tanzania, unless iwe ni chaka kwelikweli (kitu ambacho si rahisi). Ile barabara ya kutoka Kahama kwenda Tinde kulikuwa na vibao vya 100 KPH, serikali iliviondoa vyote.
 
Moro to singida ni 500 km.

Dar to singida ni 672 km.

Dar to moro ni 186 km.

Ukiwa na Crown ukitembelea 100kph flat utatumia 5 hrs toka moro to singida.

Atakaetoka Dar inabidi atembelee 130kph flat ili mfike pamoja.

Kwa uwepo wa magari mengi toka Dar mpaka moro na miundombinu ilivyo chini ya kiwango, kutembea 130kph flat ni uongo.

Ila atakaeanzia Moro kwenda Singida anaweza tembea 150kph flat.

Kufika pamoja itategemea na uzembe wa dereva wa crown atakaeanzia moro.
Hata kutoka Moro hadi Singida hiyo 150kph FLAT, huwez kuipata kote. Kwa maana Gairo,Kibaigwa,Dumila,Pandambili,Mbande,Chalinze ya Kongwa jct,Bahi,Dodoma yote hadi Mizani, humo kote lazima upunguze speed.
 
Sure. Sijaona barabara za kuendesha 150 kwa zaidi ya saa nzima hapa Tanzania, unless iwe ni chaka kwelikweli (kitu ambacho si rahisi). Ile barabara ya kutoka Kahama kwenda Tinde kulikuwa na vibao vya 100 KPH, serikali iliviondoa vyote.
Barabara zetu ni finyu Sana Kwa Tanzania hakuna sehemu ambayo unaweza kuendesha Kwa speed 150 KM/h....
Alafu ongezeko la watu pia linachangia kuwa na vijiji vingi Sana ndiyo maana huwezi kuendesha zaidi ya km 50 bila ya kukutana na kijiji...
Sikuhizi vurugu inaanzia kutoka DODOMA kuja DAR hii barabara nayo imekuwa na usumbufu WA kuwa na Magari mengi
 
Wahusika hawana mipango vizuri. Barabara kuu ya kwenda mikoani kwanza ilikuwa uruhusiwe kusukuma tu ata 150km/hr, afu mambo ya uwepo wa vijiji kila baada ya kilomita sifuri yasiwepo watu tusipoteze mda barabarani!
 
Back
Top Bottom