and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Madalali si ndio wanapandisha Kodi?Madalali wameingilia kati 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madalali si ndio wanapandisha Kodi?Madalali wameingilia kati 😀
Ulaji ikiwa chini ya 3000 rpm inakula kama ist ila ikiwa juu ya 3000rpm inakulaVipi ulaji wake wa mafuta na uimara pia hii S3 GE?
Madalali wanakipa chombo chako sifa mbaya na wewe unaamua kuuza kwa bei che. Wao wanataka iwe rahisi kumpata mteja. Sasa akitokea mtu kaskia Crown inauzwa milioni nne huku akiona kwenye mtandao mpk mkononi mamilioni 10+ basi anashawishika kuinunua hio ya nne fastaMadalali si ndio wanapandisha Kodi?
Uchumi wa Kati unakwenda sambamba naHili gari napenda features za ndani tu, but lenyewe since ni saloon car naona naburuzwa
Hili gari napenda features za ndani tu, but lenyewe since ni saloon car naona naburuzwa
Duhh SUV tamu mbona nyingi sana..vitu kama Touareg ama Audi ama Fortuner(New model lakini)SUV pekee ninazozielewa ni Jeep Eagle Wrangler FK ambayo ni Unlimited, Iwe ni Sahara au Rubicon. Nje ya hapo ni mwendo wa Saloon tu.
Duhh SUV tamu mbona nyingi sana..vitu kama Touareg ama Audi ama Fortuner(New model lakini)
huwa napiga hesabu nikigraduate frm Saloon nichague SUV ipi
I feel you somehowUnfortunately sizielewi.
Yaani mimi Sedan kama nmerogwa vile.
Kama hizo audi yaani naona ni Bora A series kuliko Q series au hayo Matourage n.k.
Touareg si ya kitoto mjombaDuhh SUV tamu mbona nyingi sana..vitu kama Touareg ama Audi ama Fortuner(New model lakini)
huwa napiga hesabu nikigraduate frm Saloon nichague SUV ipi
Wewe wa wapi? Unaulizia gari ya chini (sedan) kwa speed!Wazee wa league nawaona tu.. Mbona magari yenyewe yapo chini sana, Mnapata wapi ujasiri wa kutembea speed zote hizo
Uongo mpaka unachapia wewe utapigaje push up kwa shem wako😂. Niwe na Crown alaf uniache nifike moro wewe ndio uanze safari kutokea Kibamba alaf unikute singida 😂😂 labda na mm nikifika moro nipaki gari pembeni niuchape usingiz lakin sio nikiwa barabaran na crown mnyamaivi we unaijua voksiwagen
tuanze ligi kuanzia dsm - mwanza
nakuacha ufike morogoro,, alafu mi ndo naondoka hapa kibamba ccm, tna uhakika tutakula chakula pamoja pale singidani, baada ya hapo utanikuta nyegez lodge nimelala na shem wangu napga push up[emoji16]
🤣 🤣 🤣 🤣Wewe wa wapi? Unaulizia gari ya chini (sedan) kwa speed!
Uongo mpaka unachapia wewe utapigaje push up kwa shem wako[emoji23]. Niwe na Crown alaf uniache nifike moro wewe ndio uanze safari kutokea Kibamba alaf unikute singida [emoji23][emoji23] labda na mm nikifika moro nipaki gari pembeni niuchape usingiz lakin sio nikiwa barabaran na crown mnyama
DAR-moro ni kipande cha hovyo, madereva wengi wanachukia hicho kipande kutokana na usumbufu wake hata ukitembea usiku wa manane bado utapata shida Tu...Moro to singida ni 500 km.
Dar to singida ni 672 km.
Dar to moro ni 186 km.
Ukiwa na Crown ukitembelea 100kph flat utatumia 5 hrs toka moro to singida.
Atakaetoka Dar inabidi atembelee 130kph flat ili mfike pamoja.
Kwa uwepo wa magari mengi toka Dar mpaka moro na miundombinu ilivyo chini ya kiwango, kutembea 130kph flat ni uongo.
Ila atakaeanzia Moro kwenda Singida anaweza tembea 150kph flat.
Kufika pamoja itategemea na uzembe wa dereva wa crown atakaeanzia moro.
Sure. Sijaona barabara za kuendesha 150 kwa zaidi ya saa nzima hapa Tanzania, unless iwe ni chaka kwelikweli (kitu ambacho si rahisi). Ile barabara ya kutoka Kahama kwenda Tinde kulikuwa na vibao vya 100 KPH, serikali iliviondoa vyote.DAR-moro ni kipande cha hovyo, madereva wengi wanachukia hicho kipande kutokana na usumbufu wake hata ukitembea usiku wa manane bado utapata shida Tu...
Hizi speed za 150km/h zinatumika sehemu chache mno
Hata kutoka Moro hadi Singida hiyo 150kph FLAT, huwez kuipata kote. Kwa maana Gairo,Kibaigwa,Dumila,Pandambili,Mbande,Chalinze ya Kongwa jct,Bahi,Dodoma yote hadi Mizani, humo kote lazima upunguze speed.Moro to singida ni 500 km.
Dar to singida ni 672 km.
Dar to moro ni 186 km.
Ukiwa na Crown ukitembelea 100kph flat utatumia 5 hrs toka moro to singida.
Atakaetoka Dar inabidi atembelee 130kph flat ili mfike pamoja.
Kwa uwepo wa magari mengi toka Dar mpaka moro na miundombinu ilivyo chini ya kiwango, kutembea 130kph flat ni uongo.
Ila atakaeanzia Moro kwenda Singida anaweza tembea 150kph flat.
Kufika pamoja itategemea na uzembe wa dereva wa crown atakaeanzia moro.
Barabara zetu ni finyu Sana Kwa Tanzania hakuna sehemu ambayo unaweza kuendesha Kwa speed 150 KM/h....Sure. Sijaona barabara za kuendesha 150 kwa zaidi ya saa nzima hapa Tanzania, unless iwe ni chaka kwelikweli (kitu ambacho si rahisi). Ile barabara ya kutoka Kahama kwenda Tinde kulikuwa na vibao vya 100 KPH, serikali iliviondoa vyote.
Wahusika hawana mipango vizuri. Barabara kuu ya kwenda mikoani kwanza ilikuwa uruhusiwe kusukuma tu ata 150km/hr, afu mambo ya uwepo wa vijiji kila baada ya kilomita sifuri yasiwepo watu tusipoteze mda barabarani!Barabara zetu ni finyu Sana Kwa Tanzania hakuna sehemu ambayo unaweza kuendesha Kwa speed 150 KM/h....
Alafu ongezeko la watu pia linachangia kuwa na vijiji vingi Sana ndiyo maana huwezi kuendesha zaidi ya km 50 bila ya kukutana na kijiji...
Sikuhizi vurugu inaanzia kutoka DODOMA kuja DAR hii barabara nayo imekuwa na usumbufu WA kuwa na Magari mengi