Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

Mapping si gharama inategemea na wewe unahitaji nini zaidi.
Millioni moja kwa engine ya 5A unafanya mapping vizuri.
kwa hiyo kwa mfano inawezekana mapping kufanyika carina TI ikawa na speed up to let say 270 km per hour? kama ndiyo speedometer itabidi ichange? kwa lugha nyingine inawezekana hiyo TI ikafanyiwa mapping ikaibeat volkswagen polo GT, au subaru GBV! au hata ikakaribia hizo?
 
Duuuh, mkuu umeenda mbali sana. Subaru Gvb ikiwa stock ina Hp kubwa sana na ni special kwa rally. Hapo uwezi kufananisha unakuwa ujaweka uwiano.

Gari zimewekwa speed 180 na mtengenezaji ukiifanyia mapping itavuka zaidi ya hiyo. Ndio itabidi ubadilishe dashboard, Carina kufika 270kph sijajua niliyopata kuiona imefanyiwa mapping kidogo kwa ajili ya street racing na night cruise.
 
Ulitumia siku ngapi kwenda? Na pia siku ngapi kurudi? Speed ilikuaje(average)
Sent using Jamii Forums mobile app
 
thanks mkuu kwa shule hii lakini si angalau 220 kph inaweza fika hiyo carina TI ikifanyiwa mapping? au mkuu hiyo uliyoona imefanyiwa mapping ilikuwa inafika mpaka ngapi kwani...
 
thanks mkuu kwa shule hii lakini si angalau 220 kph inaweza fika hiyo carina TI ikifanyiwa mapping? au mkuu hiyo uliyoona imefanyiwa mapping ilikuwa inafika mpaka ngapi kwani...
 
Ulitumia siku ngapi kwenda? Na pia siku ngapi kurudi? Speed ilikuaje(average)

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitoka dar Chamazi saa 5 Dodoma nikaingia saa 2 asubuh nikatulia kama saa 1 pale Dodoma.
Mwanza niliingia saa 4 usiku hapo ilikuwa ni mwendo wa speed 100-140 na gari haijachemsha wala kuongeza coolant
 
Nakubaliana na wewe 100/%

Kuna majini yanaitwa Sunaru Forester.... Athletes Crown.... Nissan Fuga...Kuna Mazda fulan kama sikosei ni RX wanaoijua watanisahihisha kadogo hivi kanataka kufanana na Nissan Fairlady.....weka mbali na watoto..

Hizi ni baadhi ya gari zinazoonekana za kawaida sana lakini hizo V8 jamaa anazozisemea lazima zichuchumae tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mazda RX8 ni pure sports car zipo zenye cylinder 4 na 6 alafu zenyewe zinabeba abiria mmoja Tu pia uzuri wa hizi gari zina horsepower kubwa
 
Nilitoka dar Chamazi saa 5 Dodoma nikaingia saa 2 asubuh nikatulia kama saa 1 pale Dodoma.
Mwanza niliingia saa 4 usiku hapo ilikuwa ni mwendo wa speed 100-140 na gari haijachemsha wala kuongeza coolant
Yani Ukaitumia saa tatu Dar Dom...acha uongo mzee baba.
 
Mazda RX8 ni pure sports car zipo za Aina mbili yaani cylinder 4 na 6 alafu zenyewe zinabeba abiria mmoja Tu pia uzuri wa hizi gari zina horsepower kubwa ni kama zilivyo Subaru forester cross sports zinachanganya mapema sana Kwa sababu ya CTV transmission
 
Umetumia kilevi Mkuu nimesema nilitoka dar 5 usiku nikafika Dodoma saa 2 asubuh ebu piga hesabu ni masaa mangapi.... Mimi sio mtoto mdogo Hadi niandike mambo ya kijinga ya kutaka sifa mitandaoni nimeeleza kitu amabcho nimefanya Kwa faida ya muulizaji swali,soma vizuri Kwanza kabla ya kucomment kitu usichokijua
Yani Ukaitumia saa tatu Dar Dom...acha uongo mzee baba.
 
Okey.hapo sawa
 
sure mkuu kuna nissan skyline GT, Subaru GVB, Mitsubishi Lancer evo hizi ni gari ambazo V8 hazikamati hata afanyeje
 
Kiduku lilo, anaita hayo sio Magari bali ni 'vyombo vya usafiri '
 
Naona watu hawakuelewi mkuu kwamba ili ufike top speed unatakiwa uifanyie mapping...ECU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…