Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

ka polo hakoo
Hao wenye Vanguard, mark x, crown ambao mmewapita walikuwa wanajua kama mnashindana. Mana unaweza sema nimezipita gari flani kumbe mwenzio anaendesha kawaida wala atembei kwa mashindano. Alaf hiyo polo GTI ilishawai shindanishwa na Toyota Yaris na ikaachwa mbali mno hao wenye crown hawakuwa wanashindana ila nyie ndio mlikuwa mnashindana
 
Polo vs Toyota yaris
 

Attachments

  • Drag Race - VW Polo GTI vs Toyota Yaris GRMN.mp4
    9.9 MB
humu ni ushabik tu ndo ninao uona
 
Hapo South Africa Toyota Gazzoo Racing (GR) wanatengeneza hizi Toyota Runx Rsi. Hiyo Runx bei inakimbizana na Golf pia hata kwenye mbio wanatunishiana misuli na hata Golf kupitwa zote zikiwa ni stock.
 
Yani mi na akili zangu timamu kabisa naenda kuhesabu pesa ninunue Crown kweli? Gari iko chini, haiko friendly kwa all weather roads, tatu ubora wake ni wa mashaka. Tatizo nimegundua wengi tunanunua magari kwa kufuata mkumbo, lakini Crown ukiacha comfortability kiasi, haina qualities za kuwa gari ya kuongelewa...
 
Gari ya kuongelewa inatakiwa iwe na sifa gani mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…