Ika jamani acheni masihara German machine zina moto ninyi niliwahi safiri na Polo GTI ya mshikaji tunaelekea Tunduma kwenye msiba wa mkwewe ***** humo njiani hakuna Crown,Vanguard wala Mark X gari pekee iliyotusumbua nadhani ilikua Sport Car ni ya IT wanayokaa watu wawili tu mpaka leo sijajua ni gari gani ile tukiwa kibati ile chuma ilitupita kama tumesimama jamaa akaanza ligi dadeki tulikaa nyuma ya ile chuma mita si zaidi ya 100 hivi pua namdomo lakini hatuikuipita speed 200+ tulikuja kuiacha kwenye beria Iringa ile siku nikaamuheshim mjerumani.
Kilichonishangaza Chuma ilikua speed 200 lakini huoni labda kwa sababu ya usiku lakini huoni kabisa kupepesuka ngoma imetulia tu..nimewahi dundia gari kadhaa Toyota IST,Mark 2,Allion,Allex ,TI na Brebis za wana lakini kwa kweli German NYOKO.