Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

Pesa pesa tu hapo , Hybrid zake zitakuwa tamu sana
Hybrid inaenda 23KM/L tamu kishenzi kuliko hata IST.
Ile ilikuwa kama hii.
 
Attachments

  • 2013-Toyota-Crown-15.jpg
    2013-Toyota-Crown-15.jpg
    52.8 KB · Views: 7
  • 2013-Toyota-Crown-17.jpg
    2013-Toyota-Crown-17.jpg
    52 KB · Views: 7
Basi inabidi wapenzi wa baby walkee na gari zisizo kula mafuta wameletewa mkombozi sasa.. wakayanunue kwa wingiz maana hayali kabisa mafuta , akiweke wese lake la 50 anamaliza wiki nzima 😀😀😀
Hahahaha unaeza pigia Uber kabisa😸! Tatizo hizi gari za HYBRID wengi hawana ufahamu nazo ila kuna kundi flani likishazifahamu zitapata umaarufu sana hapa nchini. Wacha ziwe nyingi kidogo sokoni utakuwa ukiwa huna gari la Hybrid unateseka kuliuza 😸😸😸
 
Hybrid kwenye swala la kiwese anakomboa, ila pia ni gari ambazo hazihitaji fundi mmbaishaji linapokuja katika swala la ufundi hasa kwenye electronics , na itakuwa ni fursa mpya. Nissan Fuga nae nimeona ana Hybrid zimesimama hatari, sema shekeli ndio tatizo mkuu.. ila Hybrid zinatufaa sana
 
Uzuri wa Toyota ni uhakika yani kuzingua sio rahisi...Huwa anaziingiza techs zake sokoni baada ya Tests za muda mrefu sana kuhakikisha 0 errors!
 
Waharibifu huwa watumiaji mkuu, wanachokonoa chokonoa mitambo. Ndio maana utaona gari imetumika japan miaka kibao, inakuja na upya wakez mpe. Mtanzania NDANI ya mwaka mmoja ipo hoi
 
Huku tatizo ni roughness na kukosa hela za maintanance kwa wakati. Unaiburuza gari ikifika mahali inaanza kuua vipuri kwa speed.
 
2jz-gte hazi zalishwi tena hizi engine, na gari chache sana zina hizi ambazo hata hukobe forward zipo, nahisi hata ukiangalia Aristo zipo kama 44 na sidhani kama zina hiyo 2jz-gte labda kama zile zamani sana
Sio suala la kudhani mzee,gita zote hazina 2JZ-GTE unless mtu afanye swapping.

Unaposema hizo 2JZ-GTE ni za zamani sana kwani Gita umadhani ni za lini?

GTE imeacha kuzalishwa kwny 2002 na hizo Gita unazozisema zimezalishwa 2001 so GTE ni ya zamani na Gita ni gari ya zamani pia.
 
2jze-gte zipo kwenye baadhi ya gari za toyota tu kama Aristote 😀😀😀
 
Back
Top Bottom