Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ .. mtiti bei yake sasa. Hapo kwa ambao wanalia kuhusu wese ndio kimbilio, ila sasa kuinunua ndio mtihani, kwa wazee wa uchumi wa kati na wachini, na mwendo wake kama kawaida
Hili liko faster zaidi 0-100 ni 7 seconds! Nadhani kabla ya dakika umefuta kisahani ๐Ÿ˜น
 
Balaa yani halafu sababu ni li HYBRID kwenye town trips halili mafuta๐Ÿ˜ธ
Basi inabidi wapenzi wa baby walkee na gari zisizo kula mafuta wameletewa mkombozi sasa.. wakayanunue kwa wingiz maana hayali kabisa mafuta , akiweke wese lake la 50 anamaliza wiki nzima ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Basi inabidi wapenzi wa baby walkee na gari zisizo kula mafuta wameletewa mkombozi sasa.. wakayanunue kwa wingiz maana hayali kabisa mafuta , akiweke wese lake la 50 anamaliza wiki nzima ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Hahahaha unaeza pigia Uber kabisa๐Ÿ˜ธ! Tatizo hizi gari za HYBRID wengi hawana ufahamu nazo ila kuna kundi flani likishazifahamu zitapata umaarufu sana hapa nchini. Wacha ziwe nyingi kidogo sokoni utakuwa ukiwa huna gari la Hybrid unateseka kuliuza ๐Ÿ˜ธ๐Ÿ˜ธ๐Ÿ˜ธ
 
Hybrid kwenye swala la kiwese anakomboa, ila pia ni gari ambazo hazihitaji fundi mmbaishaji linapokuja katika swala la ufundi hasa kwenye electronics , na itakuwa ni fursa mpya. Nissan Fuga nae nimeona ana Hybrid zimesimama hatari, sema shekeli ndio tatizo mkuu.. ila Hybrid zinatufaa sana
 
Uzuri wa Toyota ni uhakika yani kuzingua sio rahisi...Huwa anaziingiza techs zake sokoni baada ya Tests za muda mrefu sana kuhakikisha 0 errors!
 
Uzuri wa Toyota ni uhakika yani kuzingua sio rahisi...Huwa anaziingiza techs zake sokoni baada ya Tests za muda mrefu sana kuhakikisha 0 errors!
Waharibifu huwa watumiaji mkuu, wanachokonoa chokonoa mitambo. Ndio maana utaona gari imetumika japan miaka kibao, inakuja na upya wakez mpe. Mtanzania NDANI ya mwaka mmoja ipo hoi
 
Waharibifu huwa watumiaji mkuu, wanachokonoa chokonoa mitambo. Ndio maana utaona gari imetumika japan miaka kibao, inakuja na upya wakez mpe. Mtanzania NDANI ya mwaka mmoja ipo hoi
Huku tatizo ni roughness na kukosa hela za maintanance kwa wakati. Unaiburuza gari ikifika mahali inaanza kuua vipuri kwa speed.
 
2jz-gte hazi zalishwi tena hizi engine, na gari chache sana zina hizi ambazo hata hukobe forward zipo, nahisi hata ukiangalia Aristo zipo kama 44 na sidhani kama zina hiyo 2jz-gte labda kama zile zamani sana
Sio suala la kudhani mzee,gita zote hazina 2JZ-GTE unless mtu afanye swapping.

Unaposema hizo 2JZ-GTE ni za zamani sana kwani Gita umadhani ni za lini?

GTE imeacha kuzalishwa kwny 2002 na hizo Gita unazozisema zimezalishwa 2001 so GTE ni ya zamani na Gita ni gari ya zamani pia.
 
2jze-gte zipo kwenye baadhi ya gari za toyota tu kama Aristote ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ