Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

Kwa kukusaidia tu HAKUNA CROWN YENYE INJINI YA 1JZ WALA 2JZ bali CROWN ATHELETE ina INJINI ZIFUATAZO 2GR, 3GR na 4GR... Hizo zenye 1JZ na 2JZ ni Brevis na Mark II Grande yenye 2JZ tu OVER

UNAFURAHISHA SANA... tatizo lako una GOOGLE... kama ishu ni ku-google tuu.. kusingekuwa na nyuzi mbalimbali kuhusu magari, sio mbaya endelea kuamini hayo hayo.. uliyoyabeba kichwani
 
ha ha umekurupuka mkuu uwe unaandika chenye unauhakika nacho na ww kwa taarifa yako crown za 1999 had 2003 zina 1jz as well as 2jz pia mpaka 1GE

then za 2003 had 2008 12generation ndo zina
2GR,3GR,4GR usikariri mkuu
hawa ndio wanaingiaga katika DRAG RACE wakijipa ushindi kisa wanashindana na VITZ kumbe kwenye bonnet kuna 2jz..
 
CROWN ATHLETE ina 1JZ nyingine huwa na 2JZ... sasa kama una CARINA TI means una 3sge... kitu ambacho ni kituko kushindana na 1jz/2jz.. ni haki yako KUPITWA...

sio CROWN tuu kuna TOYOTA ARISTO... nayo ni wale wale jamii ya CROWN.. usithubutu
Ina maana aristo ina nguvu kama crown
 
Ina maana aristo ina nguvu kama crown

PERFOMANCE ya GARI inategemea na nini kilichopo katika BONNET..... CROWN nyingi ni 1jz chache ni 2jz pia kwa ARISTO nyingi ni 2jz.. chache ni 1jz.. sas tunakuja katika suala la DEREVA.. naye ana play part yake.. ila ARISTO ipo vizur kuliko CROWN
 
UNAFURAHISHA SANA... tatizo lako una GOOGLE... kama ishu ni ku-google tuu.. kusingekuwa na nyuzi mbalimbali kuhusu magari, sio mbaya endelea kuamini hayo hayo.. uliyoyabeba kichwani
ha ha afu hata google haisemi hivo ....mwambie eleventh gen ya crown hapakukuwa na hayo ma GR series zaid ya kina 1jz na ma 2jz na kina 1G
 
PERFOMANCE ya GARI inategemea na nini kilichopo katika BONNET..... CROWN nyingi ni 1jz chache ni 2jz pia kwa ARISTO nyingi ni 2jz.. chache ni 1jz.. sas tunakuja katika suala la DEREVA.. naye ana play part yake.. ila ARISTO ipo vizur kuliko CROWN

hiyo kusema crown nyingi ni 1jz ni takwmu ya wapi?? cz toka 2003 hamna 1jz wala 2jz kwa crown ni ma 2GR 4GR nk mpaka v8
 
ha ha afu hata google haisemi hivo ....mwambie eleventh gen ya crown hapakukuwa na hayo ma GR series zaid ya kina 1jz na ma 2jz na kina 1G

hahah ana matatizo sio bure.. AKIINGIA katika ulimwengu wa SUBARU si ndio ATACHANGANYIKIWA zaid maan kule kuna ENGINE hizo usipokuwa makini unachanganya madawa
 
U
hiyo kusema crown nyingi ni 1jz ni takwmu ya wapi?? cz toka 2003 hamna 1jz wala 2jz kwa crown ni ma 2GR 4GR nk mpaka v8

Unatka kusema HAKUNA crown 1jz/2jz? kama zipo UNABISHA nin?

kuhusu TAKWIMU unhitaj takwimu zipi labda.. tunaongelea uhalisia na uzoefu na sio dhana ya kufikirika
 
CROWN ATHLETE ina 1JZ nyingine huwa na 2JZ... sasa kama una CARINA TI means una 3sge... kitu ambacho ni kituko kushindana na 1jz/2jz.. ni haki yako KUPITWA...

sio CROWN tuu kuna TOYOTA ARISTO... nayo ni wale wale jamii ya CROWN.. usithubutu
Crown za zamani hizo.. Hizi za sasa zina gr engine
 
Kwa kukusaidia tu HAKUNA CROWN YENYE INJINI YA 1JZ WALA 2JZ bali CROWN ATHELETE ina INJINI ZIFUATAZO 2GR, 3GR na 4GR... Hizo zenye 1JZ na 2JZ ni Brevis na Mark II Grande yenye 2JZ tu OVER
Crown za zamani zilikuwa na jz engine as a limited edition
 
U

Unatka kusema HAKUNA crown 1jz/2jz? kama zipo UNABISHA nin?

kuhusu TAKWIMU unhitaj takwimu zipi labda.. tunaongelea uhalisia na uzoefu na sio dhana ya kufikirika
U

Unatka kusema HAKUNA crown 1jz/2jz? kama zipo UNABISHA nin?

kuhusu TAKWIMU unhitaj takwimu zipi labda.. tunaongelea uhalisia na uzoefu na sio dhana ya kufikirika

sa ngap nimesema hamna?? nauliza takwimu za wap coz crown zilizoko nyingi nchini ni 12generation ambazo hazina engine yoyote yenye code JZ
 
Kwa kukusaidia tu HAKUNA CROWN YENYE INJINI YA 1JZ WALA 2JZ bali CROWN ATHELETE ina INJINI ZIFUATAZO 2GR, 3GR na 4GR... Hizo zenye 1JZ na 2JZ ni Brevis na Mark II Grande yenye 2JZ tu OVER
kwakuongezea hakuna carina ti yenye 3sge hii iko kwenye alteza..
na jamaa asidhani 3sge ni nyonge kihivo ina hp 210..sa sijui kaidharauje...
 
CROWN ATHLETE ina 1JZ nyingine huwa na 2JZ... sasa kama una CARINA TI means una 3sge... kitu ambacho ni kituko kushindana na 1jz/2jz.. ni haki yako KUPITWA...

sio CROWN tuu kuna TOYOTA ARISTO... nayo ni wale wale jamii ya CROWN.. usithubutu
carina ti yenye 3sge iko mbinguni boss
 
sa ngap nimesema hamna?? nauliza takwimu za wap coz crown zilizoko nyingi nchini ni 12generation ambazo hazina engine yoyote yenye code JZ

nyingi nchini ni 12generation ambazo hazina engine yoyote yenye code JZ

UNA UHAKIKA? je nikikuonesha yenye 1/2JZ utacngizia nini?
 
kwakuongezea hakuna carina ti yenye 3sge hii iko kwenye alteza..
na jamaa asidhani 3sge ni nyonge kihivo ina hp 210..sa sijui kaidharauje...
3sge ina nini cha ajabu sasa? so unataka kusema NOAH na ALTEZZA ni yaleyale? maana 3sge inakaa ktk NOAH pia..
 
kwakuongezea hakuna carina ti yenye 3sge hii iko kwenye alteza..
na jamaa asidhani 3sge ni nyonge kihivo ina hp 210..sa sijui kaidharauje...
kuna 3SGE na 3SGTE ... inapaswa uelewe.. ikiwa STOCK itahangaika saaaana itatoa

110 kW (150 HP) at 6,000 rpm........

huwez fananisha na 2jz inayotoa OUTPUT 169 kW (230 HP) at 6,000 rpm.........

ALAF siku nyingine unavyozungumzia ALTEZZA uwe makini sana...
 
nyingi nchini ni 12generation ambazo hazina engine yoyote yenye code JZ

UNA UHAKIKA? je nikikuonesha yenye 1/2JZ utacngizia nini?
mavi kuwa na akil basi ...nimesema nyingi sijasema zote acha ubish usio na maana
 
Back
Top Bottom