Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

Mkuu hiyo Cresta Gx ukiwa nayo yenye injini ya 1jz gte Moto wake sio wa kitoto.
Atayekufata lazima apotee
Labda anaemfuata awe passo au ist.

Hizo kina Cresta, GX100, Crown, Mark X tunazipita high way kama zimesimama.

LC 200 zikiwa na dereva mwenye ujasiri ndo zinanipa shida.

Ila hizo nyingine huwa sihangaiki nazo.
 
2jz-gte ni moto wa kuotea mbali nayo ina cc 2500 kwenye Verossa na baadhi ya Altezza, moto wake siyo mchezo.

Ama kuhusu argument ya gari za Kijapan kama mdau huko juu alivyoeleza akitolea mfano wa Crown ya Japan CC2500 Top Speed 180kph na zile brand za Europe ya toleo kama hilo(iwe Crown au Avensis kama ilivyotolewa mfano), bado ni vitu viwili tofauti. Gari ya cc 2500 inaweza kuwa na 180kph na kamwe haiwez kuvuka ikafika 220kph kwa mfano, kwa sababu kinachofikisha huko ni gear box. Hivyo engine yaweza kuwa sawa, lakini gear box ikawa na uwezo tofauti.
Ipo nadharia kuwa baadhi ya gari zina button ya kukopa(swipe) kutoka normal 180kph hadi 260kph mode,ila kama zipo ni chache hasa zile kubwa kama Land cruiser Vx-V8!
 
Wauza magari wa bongo shida sana.

Unauziwa "new model" ya miaka 20 nyuma na ODO inasoma 120,000 km.

Neno 'new model' linatumika vibaya.
Ukiagiza gari moja Kwa moja kutoka Japan tunaita ni brand new (used) ingawa inajulikana kuwa imeshatumika Ila kutokana na maisha yetu ya Hali ya chini unaonekana umenunua gari mpya...
Huku mtaani ni heshima kubwa ukiagiza gari (used) kila mtu anakuona umenunua gari mpya
 
Unatumia mnyama gani?
Labda anaemfuata awe passo au ist.

Hizo kina Cresta, GX100, Crown, Mark X tunazipita high way kama zimesimama.

LC 200 zikiwa na dereva mwenye ujasiri ndo zinanipa shida.

Ila hizo nyingine huwa sihangaiki nazo.
 
2jz-gte ni moto wa kuotea mbali nayo ina cc 2500 kwenye Verossa na baadhi ya Altezza, moto wake siyo mchezo.

Ama kuhusu argument ya gari za Kijapan kama mdau huko juu alivyoeleza akitolea mfano wa Crown ya Japan CC2500 Top Speed 180kph na zile brand za Europe ya toleo kama hilo(iwe Crown au Avensis kama ilivyotolewa mfano), bado ni vitu viwili tofauti. Gari ya cc 2500 inaweza kuwa na 180kph na kamwe haiwez kuvuka ikafika 220kph kwa mfano, kwa sababu kinachofikisha huko ni gear box. Hivyo engine yaweza kuwa sawa, lakini gear box ikawa na uwezo tofauti.
Ipo nadharia kuwa baadhi ya gari zina button ya kukopa(swipe) kutoka normal 180kph hadi 260kph mode,ila kama zipo ni chache hasa zile kubwa kama Land cruiser Vx-V8!
Sijakataa mkuu.

Ila hizo kina Verossa na Crown huwa zinapitwa sana regardless of what engine they have.

Tatizo mkiwa na Cronw mnajiona ndo mna gari zenye speed kuliko wengine barabarani.
 
haya Mambo ya magari hachaneni nayo.. nilikuwa na Toyota Tx ya 2015 na nilikuwa spidi 120k/hr naelekea bagamoyo ghafla nasikia mlio mkubwa nyuma yangu kuangalia nyuma naiyona Ist imeiva mbaya imetanua kunipita, Nikasema nimuache atangulie ili nimuoshe kama kasimama aisee huwez kuamini vuta nikuvute Na V6 yangu sikufanikiwa kuikamata Ile IST nilikuwa naiyona naikaribia lakini siiifikii....
 
😅😅😅😅 barabaran muda mwingine una anzisha ligi kumbe unashindana na jini au mapepo yaliopo road ynawahi mkutano kati kati ya mji
 
[emoji23][emoji23]mhuni anawahi njia panda saa saba kamili wana kikao[emoji23]afu uanzishe ligi. Mzee[emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] barabaran muda mwingine una anzisha ligi kumbe unashindana na jini au mapepo yaliopo road ynawahi mkutano kati kati ya mji
 
Sijakataa mkuu.

Ila hizo kina Verossa na Crown huwa zinapitwa sana regardless of what engine they have.

Tatizo mkiwa na Cronw mnajiona ndo mna gari zenye speed kuliko wengine barabarani.
Sijakataa mkuu.

Ila hizo kina Verossa na Crown huwa zinapitwa sana regardless of what engine they have.

Tatizo mkiwa na Cronw mnajiona ndo mna gari zenye speed kuliko wengine barabarani.
😀😀Sio kwamba tunaona tupo na gari zenye speed. Ile gari inatabia ya kumpa kiburi muendeshaji coz ukiwa unaendesha ile gari na barabara hipo vizuri ata ukiwa kwenye speed ya 140km/hr unajiona kama upo ktk 50km/hr coz hausikii mikikimiki au kuhamahama yule mnyama anazidi kuwa stable ata kwenye kona yule mnyama yupo very stable. Tatizo hayo magari mengine ukifika speed hizo yanaanza mikikimikiki kama yanataka kupaa😂😂 mara unahisi kama gari inataka kugeuka kurudi inapotoka😂 😂 nyingine zinaenda mbali zaidi asa kwa hizi barabara zenye upepo mkali uwa zinapeperushwa. Kuna jamaa yangu mmoja akiwa anataka kusafiri akikosa mizigo ya kubeba uwa anabeba viroba vyenye mchanga ata vitano ili kuipa uzito gari yake iseje ikapeperushwa huko highway, sasa ukiwa na mnyama huna sababu ya kubeba viroba vya mchanga unless uwe na matumiz navyo.
 
Ika jamani acheni masihara German machine zina moto ninyi niliwahi safiri na Polo GTI ya mshikaji tunaelekea Tunduma kwenye msiba wa mkwewe ***** humo njiani hakuna Crown,Vanguard wala Mark X gari pekee iliyotusumbua nadhani ilikua Sport Car ni ya IT wanayokaa watu wawili tu mpaka leo sijajua ni gari gani ile tukiwa kibati ile chuma ilitupita kama tumesimama jamaa akaanza ligi dadeki tulikaa nyuma ya ile chuma mita si zaidi ya 100 hivi pua namdomo lakini hatuikuipita speed 200+ tulikuja kuiacha kwenye beria Iringa ile siku nikaamuheshim mjerumani.

Kilichonishangaza Chuma ilikua speed 200 lakini huoni labda kwa sababu ya usiku lakini huoni kabisa kupepesuka ngoma imetulia tu..nimewahi dundia gari kadhaa Toyota IST,Mark 2,Allion,Allex ,TI na Brebis za wana lakini kwa kweli German NYOKO.
 
Ndugu Volkswagen hizo gari ni mashine nimejiapiza nitafanya juu chini niitie mkononi polo GTI au golf daah nikiona ile chuma udenda unatoka.
Siku moja tukiwa na hiyo Crown tulitaka ligi na Voksiwagen tulikuwa tunaenda Arusha ilitupita Mkata wala hatukuwahi kuiona had Ieo
 
Ika jamani acheni masihara German machine zina moto ninyi niliwahi safiri na Polo GTI ya mshikaji tunaelekea Tunduma kwenye msiba wa mkwewe ***** humo njiani hakuna Crown,Vanguard wala Mark X gari pekee iliyotusumbua nadhani ilikua Sport Car ni ya IT wanayokaa watu wawili tu mpaka leo sijajua ni gari gani ile tukiwa kibati ile chuma ilitupita kama tumesimama jamaa akaanza ligi dadeki tulikaa nyuma ya ile chuma mita si zaidi ya 100 hivi pua namdomo lakini hatuikuipita speed 200+ tulikuja kuiacha kwenye beria Iringa ile siku nikaamuheshim mjerumani.

Kilichonishangaza Chuma ilikua speed 200 lakini huoni labda kwa sababu ya usiku lakini huoni kabisa kupepesuka ngoma imetulia tu..nimewahi dundia gari kadhaa Toyota IST,Mark 2,Allion,Allex ,TI na Brebis za wana lakini kwa kweli German NYOKO.
ka polo hakoo
 
Back
Top Bottom