Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hata Mikia wenyewe hawataki kumsikia huyu Bwana Mkubwa maana ni kiboko ya wapigaji hela.Sijui kwann wanamuogopa sana wambura?
Kumbe anapigwa vita cos ana misimamo?Hata Mikia wenyewe hawataki kumsikia huyu Bwana Mkubwa maana ni kiboko ya wapigaji hela.
Loli Malafyale!!!Kumbe anapigwa vita cos ana misimamo?
Yeye mwenyewe mpigaji mkubwa. Ama umshirikishe mpige wote au uache kupiga.Kiboko ya wapigaji.