Athumani Nyamlani tafuta kazi , Mwenye nafasi yake kisharejea .

Athumani Nyamlani tafuta kazi , Mwenye nafasi yake kisharejea .

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
MAHAKAMA YATENGUA UAMUZI WA KUFUNGIWA MAISHA MICHAEL WAMBURA . .  Mahakama Kuu y.jpg


Huyu mtu ni mpambanaji asiyekata tamaa na ambaye haki yake anaijua hasa !
 
Sasa nyamlani inabidi akakate rufaa yeye maana chuma kimerudi
 
Wambura simpendi ila huyu Rais wa TFF anazidi kutibua bora arudi maana karia nafasi nyeti anafanya teuzi za kirafiki kama katibu mkuu, mkurugenzi wa ufundi na nyinginezo
 
Back
Top Bottom