Athumani Yusuph, kijana mdogo umeonyesha utulivu na kiwango kikubwa sana leo

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
44,855
Reaction score
189,385
Habari.

Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.

Kijana kinda mmdogo mwenye miaka 21 aliyesajiliwa kutoka Biashara United leo umeonyesha ubora mkubwa sana pamoja na timu yetu Young Africans kupoteza kwa goal moja dhidi ya Rivers United.

Athumani Yusuph endelea kukaza hakika tutapata natural striker katika taifa letu maana waliopo ndio wanaelekea mwishoni kabisa.

Nimekutazama namna unavyopokea mpira, namna unavyotoa pass na kutazama nafasi ya kuji-position umefanya vizuri sana.

Pongezi sana mwanzo ni mzuri kwa kinda mdogo wa kitanzania Athumani Yusuph.

 
Mkitaka utulivu kwenye mechi sajilini wachezajinwa dzaini hiyo, ila mkitaka makombe na ushindi mnono waigeni simba
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Kijana alijitahidi kwa dakika chache alizopewa.
 
Jipeni matumaini...Lakini hii ni CAF Champions League...endeleeni kuwaweka kina Yusuf na Nchimbi, ...
Muda si mrefu tutasahau kama mlishawahi kushiriki.
Sijazungumza kuhusu Nchimbi mkuu nimezingumza kuhusu uwezo uliodhihirika kwa Athumani Yusuph.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…