Athumani Yusuph, kijana mdogo umeonyesha utulivu na kiwango kikubwa sana leo

Athumani Yusuph, kijana mdogo umeonyesha utulivu na kiwango kikubwa sana leo

Habari.

Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.

Kijana kinda mmdogo mwenye miaka 21 aliyesajiliwa kutoka Biashara United leo umeonyesha ubora mkubwa sana pamoja na timu yetu Young Africans kupoteza kwa goal moja dhidi ya Rivers United.

Athumani Yusuph endelea kukaza hakika tutapata natural striker katika taifa letu maana waliopo ndio wanaelekea mwishoni kabisa.

Nimekutazama namna unavyopokea mpira, namna unavyotoa pass na kutazama nafasi ya kuji-position umefanya vizuri sana.

Pongezi sana mwanzo ni mzuri kwa kinda mdogo wa kitanzania Athumani Yusuph.View attachment 1935102
Ila kama back to back anafanya simba basi ni useless kwa yanga na faida kwa stars...
 
Dogo yupo vizuri sana.
Azingatie lishe na mazoezi.
Mungu ambariki sana huyu dogo.
 
Back
Top Bottom