Elections 2010 Ati hii (Picha) imekaaje?

Elections 2010 Ati hii (Picha) imekaaje?

- ambitious chadema?
- hand of CCM wanting to kill the party?
- lead to the Tanzania we want?

wengi tunataka Slaa ashinde, awe rais, wetu. Lakini je
- itawezekana kweli? nina mashaka makubwa sana, nahisi kama saa hizi CCm wameshaanza kupanga namna ambavyo katiba itakuwa imevunjwa kama kura zikikaribia, au jinsi itakavyokuwa - chochote tu, ilmradi jeshi kubwa la chama tawala lirudi madarakani.
hata hivyo Slaa, tunakuhakikishia kuwa tuko nyuma yako na tunaelewa ugumu uliopo, na kazi ngumu ilio mbele yetu.
Tunakupa kura zetu, na pia tunahamasisha wengine kuelewa umuhimu uliopo kukuweka wewe madarakani.
sio tu kuondoa CCM, bali kuweka kiongozi muadilifu, mwenye maonom nguvu na nia, mwenye upeo na upendo.
Hawapo wengi, kwa hio tusipomtumia huyu, itapita miaka mingi sana tena kuja kupata mweingine.

wakati ndio huu!!
Nafasi haiji mara mbili
 
Haika,
maneno yako ni mazito sana.
I wish jamii yote ingeelewa, kutafakari na kutekeleza maneno muhimu uliyosema.
 
Nashauri picha hii isitumike kwenye matangazo ya Chadema. badala yake wasaidizi wake watafute nyingine na wawasiliane na wataalamu wa kubuni slogan nzuri.
 
Ni vigumu kwa Padre kuwa Rais wa Tanzania...BIG NO!

What do you mean Tumain? kwamba mapadre hawafai kuongoza nchi, au?
Binafsi natamani sana Dr. Slaa awe rais 2010, nadhani ningekuwa na furaha sana. wasiwasi wangu tu ni kwamba wananchi (hasa kule vijijini) ni wagumu sana kuwatoa kwenye chama cha Mwalimu. Bibi zetu kule wapelekee mtu yeyote bora tu ametokea chama cha Mwalimu ndo linakuwa chaguo lao, sijui tufanye nini jamani kuwatoa ndugu zetu kwenye hiyo dhana!
 
Kama tukifanya utafiti kujua ni wangapi kati ya wanaotembelea mtandao huu watapiga kura Oktoba, naamini matokeo yatakuwa kichefuchefu.

Huo ndio mwanzo wa tatizo lenyewe. Watanzania wengi tunaotarajiwa kuongoza mageuzi tunaishia kuwa watazamaji.

Hivi nisaidieni, ni nchi gani ambayo nguvu ya mageuzi iko vijijini? Dar Es Salaam ina majimbo 8, yote ya CCM. Kwa mwendo huo tunatarajia nini?
 
Back
Top Bottom