Naomba nizungumze yafuatayo
1. Yanga ni kampun au ni taasisi. Kama taasisi inaajiri ili kuweza kufikisha malengo yao.
2. Watu walisoma Human Resource, rasilimali watu ktk eneo la kuajir kuna mambo mawil, moja ni Job Descripition na nyngn ni kutazama forecast ya taasisi.
Kikawaida huwa hatutazami jana wala juz ktk muenendo wa kuelekea mafanikio ya taasisi. Huwa tunatazama leo tunafanya nini ili kuweza kufikia malengo ya kesho yetu, kesho yetu inaandaliwa na leo. Watu walosoma management wanajua hl.
3. Nabi hawez kubebwa na records kwa kusema ametutoa wp au tulpata mafanikio gn, tunatazama kwa sasa tupo ktk condition ip, na condition ya sasa ni kesho ya baadae??? Timu ipo under perfomanc, sio Yanga tuloizoea, kuna mahala nabi amekwama na hl lpo waz, mech zetu kubwa zote nabi anakwama hasa za kimataifa. Sasa je, kwa sasa tunataman kufka mbal kimataifa au apa apa Tz? Administrations imeweka archievments zp? Nabi km ameondolewa bac mm naafik kwa 100%