white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Hapa mmezidi bnana!!bora hata sehemu nyingine wanaweza wakawa wanafanya hivyo kutokana na kazi ya kuunda kikosi anaachiwa kocha mwenyewe,hivyo hata akishindwa mnaweza muhukumu!!hapa kocha anakuta timu imeshasajiri,tena usajiri wenyewe sio kulingana na mahitaji ya timu bali kumkomoa mpinzani wako,na kufurahisha mashabiki,Sasa mfano yanga kweli walikuwa wana mhitaji KISINDA kwa sasa?Hujui football. Acha kusema watanzania. Football iko hvyo dunian kote km hufaham
Ujinga ni kuendelea kuwa mshabiki wa yanga baada ya kumkaribisha manara aliyewatukania kila kona ya miili yenu makolo hahahaaakiondolewa Nabi Yanga na mimi naachana na Yanga maana tutaonekana wote tunaoshabikia Yanga hatujitambui.
tff ilifanya maamuzi kwa kukurupuka ili hali wao ndo walistahili kuondoka.Taifa stars tulimfukuza Marcio maximo,mwalimu ambaye alijitahidi kuipeleka stars mahali
Records zinasema tuliwahi kuwa na matokeo mazuri kwa kumfunga burkina faso kwao,lakini pia
Tanzania 1 ivory coast 0
Tanzania 0 ivory coast 1
Tanzania 0 ivory coast 4
Tulivyomuondoa maximo hadi leo hatujafika level aliyoifikia yeye hapo alikuwa na wachezaji wachanga akina kigi makasi,haroub,yondani nk
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Kwani kocha wetu alituita mbwa tunabweka bweka hovyo kama nyie?Si na nyie mbwa wengine eti mnataka kocha mwingine mnamdharau mgunda kwa vile mweusi!
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Tff wakae pale paletff ilifanya maamuzi kwa kukurupuka ili hali wao ndo walistahili kuondoka.
Ngoja tukuongeze kwenye ile list ya watu wenye akili hapo utopoloniHapa mmezidi bnana!!bora hata sehemu nyingine wanaweza wakawa wanafanya hivyo kutokana na kazi ya kuunda kikosi anaachiwa kocha mwenyewe,hivyo hata akishindwa mnaweza muhukumu!!hapa kocha anakuta timu imeshasajiri,tena usajiri wenyewe sio kulingana na mahitaji ya timu bali kumkomoa mpinzani wako,na kufurahisha mashabiki,Sasa mfano yanga kweli walikuwa wana mhitaji KISINDA kwa sasa?
Naomba nizungumze yafuatayoKocha huwa anapewa malengo kwenye mkataba. Nabi inawezekana kipengele mojawapo ilikuwa kuingiza timu makundi ya klabu bingwa na ameshindwa kwa misimu miwili mfululizo.
Itakuwa ujinga kuendelea kuwa naye kama hafikii malengo. Suala la kufanya vizuri kwenye ligi hata kina Mkwasa wanaweza kutimiza.
Ulishajua ni kwanini Gomez alitimuliwa Simba akiwa ametwaa mataji yote?
Nabi ndie aliemleta kisinda, chetu chetu na makambo, kombole hapo utopoloni?Naomba nizungumze yafuatayo
1. Yanga ni kampun au ni taasisi. Kama taasisi inaajiri ili kuweza kufikisha malengo yao.
2. Watu walisoma Human Resource, rasilimali watu ktk eneo la kuajir kuna mambo mawil, moja ni Job Descripition na nyngn ni kutazama forecast ya taasisi.
Kikawaida huwa hatutazami jana wala juz ktk muenendo wa kuelekea mafanikio ya taasisi. Huwa tunatazama leo tunafanya nini ili kuweza kufikia malengo ya kesho yetu, kesho yetu inaandaliwa na leo. Watu walosoma management wanajua hl.
3. Nabi hawez kubebwa na records kwa kusema ametutoa wp au tulpata mafanikio gn, tunatazama kwa sasa tupo ktk condition ip, na condition ya sasa ni kesho ya baadae??? Timu ipo under perfomanc, sio Yanga tuloizoea, kuna mahala nabi amekwama na hl lpo waz, mech zetu kubwa zote nabi anakwama hasa za kimataifa. Sasa je, kwa sasa tunataman kufka mbal kimataifa au apa apa Tz? Administrations imeweka archievments zp? Nabi km ameondolewa bac mm naafik kwa 100%
Kama hauelewi unatafuta nini ndio utabaki na kocha mmoja asitefikia malengoKwa upande wa kutimua makocha mna tofauti gani?yaani hata hamuelewi mnatafuta nini!!
Naomba nizungumze yafuatayo
1. Yanga ni kampun au ni taasisi. Kama taasisi inaajiri ili kuweza kufikisha malengo yao.
2. Watu walisoma Human Resource, rasilimali watu ktk eneo la kuajir kuna mambo mawil, moja ni Job Descripition na nyngn ni kutazama forecast ya taasisi.
Kikawaida huwa hatutazami jana wala juz ktk muenendo wa kuelekea mafanikio ya taasisi. Huwa tunatazama leo tunafanya nini ili kuweza kufikia malengo ya kesho yetu, kesho yetu inaandaliwa na leo. Watu walosoma management wanajua hl.
3. Nabi hawez kubebwa na records kwa kusema ametutoa wp au tulpata mafanikio gn, tunatazama kwa sasa tupo ktk condition ip, na condition ya sasa ni kesho ya baadae??? Timu ipo under perfomanc, sio Yanga tuloizoea, kuna mahala nabi amekwama na hl lpo waz, mech zetu kubwa zote nabi anakwama hasa za kimataifa. Sasa je, kwa sasa tunataman kufka mbal kimataifa au apa apa Tz? Administrations imeweka archievments zp? Nabi km ameondolewa bac mm naafik kwa 100%
Inshu sio kufikia màlengo,ni je kuna wachezaji wa kumfanya afikie hayo malengo??kwa wachezaji hao ambao wanakimbia hadi wanapitiliza uwanja ndio kocha kweli aje afikie eti makengo ya kufika group stage kama sio nusu fainali??Kama hauelewi unatafuta nini ndio utabaki na kocha mmoja asitefikia malengo
Inshu sio kufikia màlengo,ni je kuna wachezaji wa kumfanya afikie hayo malengo??kwa wachezaji hao ambao wanakimbia hadi wanapitiliza uwanja ndio kocha kweli aje afikie eti makengo ya kufika group stage kama sio nusu fainali??