CPU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 3,858
- 687
Dah ujiko huo!Leo napika pilau!
WiseLady CPU anafaa kuitwa kaka..mjomba..baba na mume juu!
WL umepata ujumbe huo??
Usiuchune
:lol:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah ujiko huo!Leo napika pilau!
WiseLady CPU anafaa kuitwa kaka..mjomba..baba na mume juu!
hahaha cpu bana!kwanza habari ya madhabodi?ile ya women to avoid mtoa mada mwenyewe tu:thinking:,,mi nimemshkuru mwanakijiji kwa kubalance equation,,lol!hivi cpu uko kundi gani vile?ili tuanzie hapo,,lol:nono:
Ngumu kumesa aisee
Ngumu kumesa aisee
Dah ujiko huo!Leo napika pilau!
WiseLady CPU anafaa kuitwa kaka..mjomba..baba na mume juu!
Mama Mchungaji
Leo nakupata Chachi??
lizzy kwa maana nyingine unamaanisha cpu ni mr popularity cyo?:nod:
khe!naona umepata maono ya kutambua cheo changu,,lolz!karibu sana leo church tuna mkesha kwa ajili ya women to avoid na wanaume wa kukwepa
Daaaah
:lol::lol::lol:
Huo mkesha nakuja na Lizzy
Hehehe WL Sipiyu ni Mr Right.Smart..handsome..respectful..anaejali na kupenda kweli..mtulivu na mnyenyekevu..muelewa na mkarimu. Yani kwenye hiyo list hapo juu haenei hata kidogo!
Mmh je ukipata maono kwamba na mimi nipo kwenye kundi la kukwepwa?
Hehehe WL Sipiyu ni Mr Right.Smart..handsome..respectful..anaejali na kupenda kweli..mtulivu na mnyenyekevu..muelewa na mkarimu.Yani kwenye hiyo list hapo juu haenei hata kidogo!
Hii inawezekana kwenye maandishi tu
Daaaah
:lol::lol::lol:
Huo mkesha nakuja na Lizzy
lizzy ntaaminije kama ana quality zote hizo?au utaruhusu nimwite kwa majaribio?hata hivyo hebu niambie kama mnamatch maana najua ww ni miss feminity
lizzy ntaaminije kama ana quality zote hizo?au utaruhusu nimwite kwa majaribio?hata hivyo hebu niambie kama mnamatch maana najua ww ni miss feminity
Ameshasema mimi ni wa kundi la women to hold on tu!Huko anataka kuja kuwaongezea nguvu ya maombi!kwani lizzy yuko kny kundi la women to avoid?hebu akiri mwenyewe kama anataka huduma bana
kwani lizzy yuko kny kundi la women to avoid?hebu akiri mwenyewe kama anataka huduma bana
Nimelichomekea makusudi kuja nae maana nataka kukwepa majaribio yako, kwenye hilo kundi yuko umbali wa hapo ulipo mpaka mbinguni