Ati Wanaume wa Kuwakwepa...

hahaha cpu bana!kwanza habari ya madhabodi?ile ya women to avoid mtoa mada mwenyewe tu:thinking:,,mi nimemshkuru mwanakijiji kwa kubalance equation,,lol!hivi cpu uko kundi gani vile?ili tuanzie hapo,,lol:nono:

Mama Mchungaji
Leo nakupata Chachi??
 
Mama Mchungaji
Leo nakupata Chachi??

khe!naona umepata maono ya kutambua cheo changu,,lolz!karibu sana leo church tuna mkesha kwa ajili ya women to avoid na wanaume wa kukwepa
 
lizzy kwa maana nyingine unamaanisha cpu ni mr popularity cyo?:nod:

Hehehe WL Sipiyu ni Mr Right.Smart..handsome..respectful..anaejali na kupenda kweli..mtulivu na mnyenyekevu..muelewa na mkarimu.Yani kwenye hiyo list hapo juu haenei hata kidogo!
 
Reactions: CPU
khe!naona umepata maono ya kutambua cheo changu,,lolz!karibu sana leo church tuna mkesha kwa ajili ya women to avoid na wanaume wa kukwepa

Daaaah
:lol::lol::lol:
Huo mkesha nakuja na Lizzy
 
Hehehe WL Sipiyu ni Mr Right.Smart..handsome..respectful..anaejali na kupenda kweli..mtulivu na mnyenyekevu..muelewa na mkarimu. Yani kwenye hiyo list hapo juu haenei hata kidogo!

Mungu anipe nini tena zaidi ya huyu mrembo???
Gunia la Chawa???!!!

Thanx mara Zilion 10

The Following User Says Thank You to Lizzy For This Useful Post:

CPU (Today)​
 
Attachments

  • thumbs_up_large.png
    56.4 KB · Views: 29
The Briber matches The Gold Digger

Mr. popularity matches Miss Popularity

The Bully matches Miss Know It All

The User matches The Virgin

The Genius matches The Villager
 
Hehehe WL Sipiyu ni Mr Right.Smart..handsome..respectful..anaejali na kupenda kweli..mtulivu na mnyenyekevu..muelewa na mkarimu.Yani kwenye hiyo list hapo juu haenei hata kidogo!

lizzy ntaaminije kama ana quality zote hizo?au utaruhusu nimwite kwa majaribio?hata hivyo hebu niambie kama mnamatch maana najua ww ni miss feminity
 
lizzy ntaaminije kama ana quality zote hizo?au utaruhusu nimwite kwa majaribio?hata hivyo hebu niambie kama mnamatch maana najua ww ni miss feminity

Mmmh WL majaribio kwakweli hayaruhusiwi maana kuna hatari ya kuibiwa!Hehehe kuhusu kumatch embu akwambie mwenyewe usije ukasema najifagilia tu!
 
lizzy ntaaminije kama ana quality zote hizo?au utaruhusu nimwite kwa majaribio?hata hivyo hebu niambie kama mnamatch maana najua ww ni miss feminity

Labda Lizzy awe kipofu plus kiziwi na apigwe kipapai cha ubongo!
Vinginevyo . . . . .
 
kwani lizzy yuko kny kundi la women to avoid?hebu akiri mwenyewe kama anataka huduma bana
Ameshasema mimi ni wa kundi la women to hold on tu!Huko anataka kuja kuwaongezea nguvu ya maombi!
 
kwani lizzy yuko kny kundi la women to avoid?hebu akiri mwenyewe kama anataka huduma bana

Nimelichomekea makusudi kuja nae maana nataka kukwepa majaribio yako, kwenye hilo kundi yuko umbali wa hapo ulipo mpaka mbinguni
 
Nimelichomekea makusudi kuja nae maana nataka kukwepa majaribio yako, kwenye hilo kundi yuko umbali wa hapo ulipo mpaka mbinguni

Hehehehe!WL umesikia lakini?Habari ndo hiyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…