Atiq Ahmed: Aliyekuwa mwanasiasa wa India na kakake wapigwa risasi wakiwa mubashara kwenye Runinga

Kiukweli namshukuru sana Mungu kwa hili.
P
Nchi kuwa "Corrupt" huanzia kwenye kutisha waandishi wa habari. Ona Modi alipotaka kubadili noti za Rupia ya India alivyopata upinzani toka kwa wanasiasa waliotumia vyombo vya habari kumpinga. Kuwa mwandishi wa habari kwenye nchi inayoendeshwa kifisadi ni jambo la hatari sana kuliko watu wanavyofikiria.
 
Modi alifanya sahihi kubadilisha note kubwa zaidi ya rupee. Kuna majizi yalikuwa yamehifadhi makontena ya pesa ndani hayatunzi benki, yanakwepa kodi na kufanya money laundering.

Tabia za Wahindi wa bongo kupenda kulipa cash, kutunza hela ndani na kukwepa kodi kwao ni maradufu. Aliona wanaharibu uchumi na ni kweli walikuwa wamefika pabaya
 
Lakini safari yake si iliishia njiani?
 
Hiyo familia walituhumiwa mara kadhaa kua majasusi wanaopeleka taarifa pakistan na kutaka kueneza uislamu India kitu ambacho wahindu na wahindi walipinga sana
 
Lakini safari yake si iliishia njiani?
Sijajua ila si uliona mtiti aliowapa, watu walipanga foleni kupeleka mifuko ya hela benki. Aliwaacha wenye michango ya harusi tu maana ukiharibu harusi Wahindi umewakosea sana na zina gharama
 
Mchakato ulisitishwa.
 
Wavaa kobaz wanachukiwa vibaya mno India , actually wahindu wanataka kuwachinja kama kuku
 
Hindu fascist ndio anaengoza India kwa sasa.
India ina changamoto kubwa za kukosekana uvumilivu wa kiimani kwenye baadhi ya maeneo na hata ghasia za kidini huzuka sana Sana huko Kashmir.

watu husilimishwa kibabe kuwa wahindu kwenye baadhi ya majimbo.
 
Hindu Nationalist ni majanga matupu..
 
Back
Top Bottom