sparklingstar
Member
- Oct 16, 2013
- 7
- 0
Karibu sana JF
baba una moyo wa upendo wa agape yaani kila mgeni wamkaribisha
angalia utakaribisha na malaika wa ................? shauririo
utakuwepo pale lthp? leo?
Hahaha...halafu wewe!!!
Nope sitakuwepo nipo nje ya mji
niletee nanasi kwani huko pwani mananasi yashaanza kuenguliwa
si unajua mwanao nilivyo na uloho wa mananasii?
Huku hakuna mananasi...hahah!!!
basi utakachokiona chochote baba
yaani hata pipi hamna?