Atletico Madrid vs Barcelona

Atletico Madrid vs Barcelona

Baca anashinda vizuri tu hao atletico hamna kitu
atletico leo anashinda
Paulinho huyu jamaa ni bonge la usajili msimu huu. Kaja kuongeza vitu pale kati. Physics, anakaba, anafunga anashambulia. Kwa kifupi tu huyu jamaa alichelewa sana kuja camp nou.

Natabiri

Atletico 0-3 Barcelona
Naiona hattrick leo
FT Atletico De Madrid 1 - 1 Barcelona

kama nilivyotabiri #2
 
Hata cku moja cwezi muita mchezaji yoyote duniani Eti MUNGU.

Mungu ni mmoja tu hakuzaa wala hakuzaliwa na hakuna kinachofanananae.

Messi ni kipaji__kwa sasa hakujatokea kiumbe like King Messi tokea soka lianzishwe rasmi hapa ulimwenguni. Nitapata cha kuwahadisia wanangu kwamba "kulikuwa na mchawi wa soka duniani aitwae King Messi. From Rosario central pembezini mwa jiji la Buenos Aires nchini Argentina" ni hayo tu. Sirudi tena
Duuuh ina maana anamzidi ;
Pele
Zico
Garrincha
Didi
Puskas
Kocsis
Maradona

Dah kweli vijana wa dot com majanga
 
Duuuh ina maana anamzidi ;
Pele
Zico
Garrincha
Didi
Puskas
Kocsis
Maradona

Dah kweli vijana wa dot com majanga

Utakataa wewe tu bwana zitto.lakini wataalamu waliobobea maswala ya soka na wengi wetu tunaomfatilia huyu kiumbe kuwahi kutokea, nikiwemo na mimi BLACK P tunamkubali kinoma na tunamtambua Kuwa yeye ndio baba la soka ulimwenguni___amewapita mbali wakina maradona na pele sembuse hao wengine!!!

Bnafc ningeshauri tu hakuna haja ya kumjadiri mfalme huyu. 2napoteza muda we2 buree while wanaolijua soka zaidi ye2 wanatambua uwezo wake na wengi katika mashabiki ulimwenguni wanamkubali kisawa sawa. Kwaheri bwana ZITTO. msalimie Mh zitto kabwe_mwambie Black P anakupa Hi aise.
 
Nachojua wataalam mara ya mwisho walikaa mwaka 1999 wakasema HAKUNA KAMA PELE na pia kwa wafunga magoli hakuna kma puskas ndio maana Pele akapewa PLAYER OF THE CENTURY na pia tuzo ya goli bora la mwaka liliitwa kwa heshima ya mshaMbuliaji bora kuwahi tokea ulimwenguni FERENC PUSKAS sasa sielewi hao wataalam unaosema walidai messi ni Bora walikaa lini na wapi ndio wakasema anamzidi pele!!
 
Back
Top Bottom