The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,168
- 10,184
Wana teamwork, ndio maana huoni kupungukiwa kwao hata wakikosekana wachezaj flan wa 1st elevenMbinu za Diego na timu yake wanazijua wenyewe kifupi hawatabiriki hawaogopi they're very stubborn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana teamwork, ndio maana huoni kupungukiwa kwao hata wakikosekana wachezaj flan wa 1st elevenMbinu za Diego na timu yake wanazijua wenyewe kifupi hawatabiriki hawaogopi they're very stubborn
Nimekuelewa vizuri. Mkuu upo makinigame inabadilika kutokana na natokeo ya mchezo..walivokua wakicheza atletico kabla ya gor na baada ya gori ni tofauti sana...hao bayern wakizubaa watapigwa hata uko uko kwao
Yaah jamaa wana mpira wao flan hivi ila hata buyern sio wa kuwapuuzaWana teamwork, ndio maana huoni kupungukiwa kwao hata wakikosekana wachezaj flan wa 1st eleven
Ahsante kwa taarifa kiongoziHii jf mpa Spain ipo mkuuu wanakosaje sasa kiwepo
Gor=goli ??????game inabadilika kutokana na natokeo ya mchezo..walivokua wakicheza atletico kabla ya gor na baada ya gori ni tofauti sana...hao bayern wakizubaa watapigwa hata uko uko kwao
Jana yenyewe jembe lao tegemezi pale nyuma Diego Godin hakuwapo.Wana teamwork, ndio maana huoni kupungukiwa kwao hata wakikosekana wachezaj flan wa 1st eleven
Nawakubali Atletico Madrid lakini Alianz Arena ndio patamu, mtakapoenda Ujerumani mfunge mkanda vzr maana hamtatoka mkiwa hai.
Kumbuka bayern wanajali sana home kuliko away
Ndo wale wale wazee wa ku defence.Huyu El cholo ni bora kuliko Jose Mou.
Why Man U inamuacha ?