Atletico Madrid wajiandae kufa nyumbani kwa Bayern Munich, Alianz Arena

Bayern wanakazi ngumu sana,mchezo wa Atletico kabla na baada ya kupata goli ni tofauti kumbuka walichomfanyia Barca pale kwake walianza kwa kumfunga ila wapobaki pungufu walianza kudefend na waliweza.
 
game inabadilika kutokana na natokeo ya mchezo..walivokua wakicheza atletico kabla ya gor na baada ya gori ni tofauti sana...hao bayern wakizubaa watapigwa hata uko uko kwao
Nimekuelewa vizuri. Mkuu upo makini
 
atletico ni fainali..na sio hao tuu muninch wangekutana na timu yoyote wangepita wana ushirikiano wa mbwa mwitu lewadoski kila akiwa na mpira anakabwa na watu watatu pep mwenyewe anajua kakutana na wanaojua mpira.
 
hao nyuma wanakaba wakiwa saba griezman anacheza kati pia mbele anabaki tores na sauli katikati wamejaa wao pembeni namba saba na kumina moja hakuna mchezaji wa kusubir mpira hauna mpira nenda kati...wakati munich kuna watu wanabaki katika izo nafasi wakisubiri pasi mpira unakua mgumu sana kwa munich..
 
beyern atakanyagwa tu. jamaa ni wazuiaji wazuri na counter attak za kushutukiza
 
Huyu El cholo ni bora kuliko Jose Mou.
Why Man U inamuacha ?
 
game inabadilika kutokana na natokeo ya mchezo..walivokua wakicheza atletico kabla ya gor na baada ya gori ni tofauti sana...hao bayern wakizubaa watapigwa hata uko uko kwao
Gor=goli ??????
 
Mechi itakuwa rahisi kwa bayern endapo wakipata goli la mapema ila atletico akiwahi kushinda yeye goli la kwanza au akazuia suluhu mpaka half time kuna dalili kubwa ya bayern kutupwa nje
 
Nawakubali Atletico Madrid lakini Alianz Arena ndio patamu, mtakapoenda Ujerumani mfunge mkanda vzr maana hamtatoka mkiwa hai.


labda huwajui wahuni wa vicente calderona buyern kapita kibahat sana toka kwa juve na benfica walishamsumbua sana sema hizo timu mbili hazikuwa na nidhamu ya mpira ngoma ipo kwa wakabaji goli moja tu la dakika ya 3 linamaliza dakika 90
 
Kumbuka bayern wanajali sana home kuliko away

Tehee kujifariji inaruhusiwa mana hata Chelsea ile ambayo ilikuwa on fire kipindi cha Mourinho nusu fainal na Atletico alisare nyumbani kwa Atletico akajipa moyo atashinda home mwisho wa siku akapigwa 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…