Ambassador
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 933
- 75
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa tahadhari. Ila kinachonishangaza imekuwaje onyo hili litolewe na ubalozi wa Marekani badala ya serikali ya Tanzania? Au hawajui tatizo hilo?
Je benki zenye ATM zinajua hili. Ni hatua gani watachukua/wamechukua kukomesha wizi huu?
Tusubiri, labda Mkullo bado anaifanyia utafiti taarifa hii!!!
Hi people, mmeisikia hii? See attached kutoka ubalozi wa Marekani wakiadvise staff wao kuacha kutumia ATM kutokana na fraud inayoendelea. Wanasema ATM za Tanzania nzima haziko safe!!
Mbona habari imekaa kimtindo?
Pesa zimeibiwa Nairobi.
Kwa nini wanaasuume wizi umefanywa kwa ATM za Tanzania? Hao walioibiwa walitumia ATM za Tanzania, USA and Kenya may be na kwingine pia. Hii conclusion kuwa ATM za Tanzania zote ziko potentially compromised imekaaje? Je, watachukulia ATM za USA pia ni potentially compromised?
serikali zinazojali raia wake zikiwa kazini