ATM Fraud in Tanzania

ATM Fraud in Tanzania

Mkuu, unaweza kutueleza ki-layman ni nini hasa kinafanyika au kinaendelea?

Kwa sasa hakikisha unakuwa unahakiki fedha zako kwa karibu. Walianzia kwenye dola na sasa hata sasa akaunti za pesa za kitanzania pia zinanyemelewa. Hawa wakora wa IT wanasadikika wameweka kambi kwa watani wa jadi.
 
Kwa sasa hakikisha unakuwa unahakiki fedha zako kwa karibu. Walianzia kwenye dola na sasa hata sasa akaunti za pesa za kitanzania pia zinanyemelewa. Hawa wakora wa IT wanasadikika wameweka kambi kwa watani wa jadi.
Mkulu mobna unaongea kwa mafundo.
Weka wazi suala zima,watani wa jadi ni akina nani hao?
Hujuma yenyewe inafanyika vipi?
Tujuze,tujuzike.
 
Suala liko hivi,ukichukua pesa kwa ATM za kibongo jamaa wanapata access kwenye account yako.Tangazo limetolewa na American embassy kwa wafanyakazi wao kukagua transaction zao kama wanatumia ATMs.

Imeripotiwa kuwa watu wawili ambao wako marekani na hivi karibuni walichukua pesa kwenye ATM wakiwa Tanzania.

Pia inasemekana jamaa wanaoiba wanaonekana kama wapo Nairobere (kwa jirani/mtani). Nawashauri wanaotumia ATM (especially visa) kufanya yafuatayo:

-Omba statement ya miezi miwili au mitatu kutoka bank yako
-Kagua transaction moja baada ya nyingine (Kama huwa unatunza kumbukumbu ya drawings then linganisha na bank statement)
-Kama kuna tofauti yoyote wasiliana na bank yako kwa maelezo zaidi. Ikiwakuna tatizo watakueleza kwani wao wanatunza kumbukumbu vizuri zaidi.

Asante, naomba kuwasilisha.

Pamoja.
 
Lile sakata la ATM linazidi kusumbua vichwa. Hii habari nimeiona kwenye website ya ubalozi wa marekani-Tanzania.

ATM Fraud Update

July 7, 2009
The U.S. Embassy in Dar es Salaam continues to receive reports of ATM, debit, and credit card fraud cases, particularly U.S. dollar denominated accounts. The Embassy therefore urges U.S. citizens to carefully consider the risks of using ATMs anywhere in Tanzania until further notice.

The Embassy strongly recommends U.S. citizens check their accounts and determine if any unusual withdrawals have occurred. If so, the Embassy suggests you contact your financial institution immediately. U.S. citizens who are victims of such unauthorized access should work closely with their financial institutions to prevent future unauthorized transactions.

Updated information on travel and security in Tanzania may be obtained from the Department of State by calling 1-888-407-4747 toll free in the United States and Canada, or for callers outside the United States and Canada, a regular toll line at 1-202-501-4444. For further information please consult the Country Specific Information for Tanzania, the East Africa Travel Alert, and the Worldwide Caution Travel Alert, which are available on the Bureau of Consular Affairs Internet website at http://travel.state.gov.

The Consular Section of the U.S. Embassy in Tanzania can be contacted by telephone [255](22) 266-8001 x 4122 and fax [255](22) 266-8238. You may also contact the U.S. Embassy in Tanzania via email at drsacs@state.gov. For After hours emergencies U.S. citizens should call [255](22) 266-8001.

Source: Warden Notice
 
Kuna jamaa kapoteza mkwanja [ USD 45,000] jana. Please, make sure you follow up all your transactions.
 
Kweli bongo kiboko yao.

Technolojia ya IT kwenye bank za bongo itaendelea kuwa vunerable kwa sababu mbili kubwa
-baadhi ya wafanyakazi wa mabenki ambao ndio walipaswa kutunza siri za wateja hushirikiana na wezi kuwaibia wateja. Sii ajabu ukakuta kwenye hili sakata la ATM NI "inside job" ... baadhi ya wafanyakazi wasio waaminifu wanatoa credit card details kwa wezi.
-uwajibikaji wa wahusika upo chini sana. Kitu kama ATM kikishafungwa hawajihangaishi kukifuatilia. Wezi wanaweza kutumia huo mwanya kufunga kamera ndogo kwenye hizo mashine ili kupata credit card details za wateja wakati wanachukua fedha.
 
Kuna jamaa kapoteza mkwanja [ USD 45,000] jana. Please, make sure you follow up all your transactions.

Benki ngapi zimekumbwa na mkasa huu? (I'm beginning to think this is happening to just one bank)
 
Thanx kwa taarifa. hakika nikiwa bongo basi sitatumia tena ATM. Itanibidi sana ninapokwenda niende na cash
 
Back
Top Bottom