SHANTA
Senior Member
- Apr 20, 2013
- 162
- 49
Leo nimepita karatu mjini na kuona mashine ya ATM pale kwenye ofisi ya posta,nikauliza madereva bodaboda wakaniambia eti wanaskia ni ya crdb,wadau kama kuna mtu mwenye info anijuze maana card yangu ya crdb haikubali ATM nyingine zaidi ya haohao crdb,kama ni kweli nisiwe nalazimika kusubiri gari la mobile.