ATM za CRDB ni shida sana

ATM za CRDB ni shida sana

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Yamkini mlinunua screpa nyingi za mashine lakini mtuonee huduma wateja wenu tunahangaika sana na ATM za CRDB yani kuna ambazo ukikuta pesa. Sio mbovu kwa siku hiyo tunashukuru sana na mbaya zaidi hasa kwa vituo vipya kama hapa Mwananyamala Hospital na pale Mwanamboka Kinondoni

sijui kwingineko
 
Dah! Sasa sijui nikimbilie wapi! Nilikuwa na mpango wa kuhamia CRDB maana NBC ni majanga. Eidha ATM haina pesa au mbovu. Hadi benki baadhi ya ATM za benki hazinaga hela, ni balaa, sasa sijui nikimbilie wapi? Umoja??
 
Mara mia za CRDB, kuna exim izi zinazingua balaa, kuna kipindi nilikuwa mkoa mmoja ivi zaidi ya siku nne hazifanyi kazi.
 
Mara mia za CRDB, kuna exim izi zinazingua balaa, kuna kipindi nilikuwa mkoa mmoja ivi zaidi ya siku nne hazifanyi kazi.
hili ni teke lingine lililotujia, yani pesa yako kisha unasumbuka
 
Back
Top Bottom