sio CRDB tu. hata zingine pia.
Dah! Sasa sijui nikimbilie wapi! Nilikuwa na mpango wa kuhamia CRDB maana NBC ni majanga. Eidha ATM haina pesa au mbovu. Hadi benki baadhi ya ATM za benki hazinaga hela, ni balaa, sasa sijui nikimbilie wapi? Umoja??
tangaza maslahi kwanza