KERO ATM za Equity Tawi la Moshi ni majanga, hela hazitoki, baadaye ukirudishiwa hawarudishi tozo walizokata

KERO ATM za Equity Tawi la Moshi ni majanga, hela hazitoki, baadaye ukirudishiwa hawarudishi tozo walizokata

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kuna kero kubwa kwenye ATM za Equity Tawi la Moshi, mwezi wa pili sasa, ukitoa pesa inaonekana umetoa na SMS inakuja kuwa umetoa, na tozo zote unakatwa, cha ajabu hela haitoki na ukiuliza unaambiwa jaza claim form pesa itarudi baada ya saa 24.

Baada ya hapo pesa inarudi ileile uliyotoa ila zile tozo hawarudishi, hii imekuwa kero sana kwa wateja wa Equity Moshi.
 
Equity si ya hapo kilimanjaro na Kei au.
 
Ni kama serikali kurudisha muamala wa vat
 
Mkuu, ebu achana na hizo bank zisizo eleweka maana utatuchosha bure tu humu ndani...🤨
 
Back
Top Bottom