ATM za watani

ATM za watani

Ngambo Ngali

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2009
Posts
3,517
Reaction score
1,363
1DDCA09F-90B0-433B-9F48-4083A62111AE.jpg


Hii kali grill mpaka kwenye ATM?????
 
Mkuu Ngambo! hii lazima itakuwa kenyaniz, a.k.a Watani, maana jamaa wana mambo ya ajabu... wale! Mh! Nimeshindwa kuapload kama vip mkuu ni PM kunihabarisha jinsi ya kuwekama picha like yours. But ninayo moja matata huwezi amini iko katika kati ya jiji la Nai!

Jamaa huwa wananiacha hoi sana hawa
 
mi nashangaa kweli,sasa hapo unatoa vivi mapene kama ndo atm geti kali kiasi hicho
 
Picha yenyewe yakaa ki photoshop nanyi mwaamini? Nani ataweka grills kwenye ATM's?
 
WADAU, hii kiboko, huko kenya kunatatizo gani?
 
Back
Top Bottom