Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Hata huna mwaka tangu ujiunge na jf afu unataka mialiko wakati wenzio tumekaa miaka kumi na message zetu za PM hazijawahi kujibiwa na akina Joanah.
karibu Dodoma
Na unakwama wapi Sasa,mbona wale watu unaowasiliana nao wasikupe mialiko ya krismasi?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]kila mtu na bahati yake bhna mimi mbona mpka nina mawasiliano na watu humu na tushakuwa kama ndugu
Na unakwama wapi Sasa,mbona wale watu unaowasiliana nao wasikupe mialiko ya krismasi?
Wanakushiti kwa vile hujui kuandika, unaandika MaHadili badala ya maadili.Hell
Wana jf mpka dakika hii sijapokea mualiko wowote wa sikukuu kutoka humu ina maana wote humu jf hakuna anae nikubali ata kwa asilimia kumi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ata wewe Mwana mzizima
Napokea mihaliko nipo tabata
Wanakushiti kwa vile hujui kuandika, unaandika MaHadili badala ya maadili.
Na kweli ona hii:-Ujue mm nimekulia china ndio shida [emoji3][emoji3][emoji3][emoji2]
Na kweli ona hii:-
Lakini wazazi kama wengekuwa wana wakataza au wanakemea hawa watoto wange acha hila baada ya hapo tuliwaelimisha kwa kuwatenga kimakundi kulingana na umri wao kila mmoja aka kaa nao na kuongea nao
imetoka:-
Mtwara: Watoto wanaharibika kimaadili kwa kukosa usimamizi mzuri kutoka kwa wazazi
Habarini wazee Wiki moja ilio pita nilikuwa mtwara katika harakati za kutoe elimu ya GBV tulifanya zoezi letu kwa ufasaha kabisa baada ya kumaliza upande wa watu wazima tukaenda upande wa watoto Huku ndiko tukagundua tabia ambazo watoto wameiga kwa kiasi kikubwa na wazazi wao wakijua na...www.jamiiforums.com
Pamoja na utetezi wa kitoto, Ulitakiwa kuandika hivi:-Duh asante uwen unanilekebisha ninapokosea ujue kuongea kiswahili na weza sana hila kuandika kwakweli changamoto mpenzi wangu wa huko hong kong kanialibu sana alikuwa anaitwa yiyi sasa mda mwingi huwa namuigaga rafuzi yake ndio maana hivi
Duh asanteuwenunanilekebisha(unanirekebisha)ninapokosea ujue kuongea kiswahili naweza sanahila(ila) kuandika kwakweli (ni) changamoto mpenzi wangu wa hukohong kong(Hong Kong)kanialibu(kaniharibu) sana, alikuwa anaitwa yiyi , sasamda(muda)mwingi huwa namuigagarafuzi(lafudhi ) yake .........
Of course hiyo haina mjadala kisura wanguNa fimbo ajiandaeš
Karibu ununio[emoji87]