Atokee mtu

Atokee mtu

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Hell

Wana jf mpka dakika hii sijapokea mualiko wowote wa sikukuu kutoka humu ina maana wote humu jf hakuna anae nikubali ata kwa asilimia kumi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ata wewe Mwana mzizima

Napokea mihaliko nipo tabata
 
Hata huna mwaka tangu ujiunge na jf afu unataka mialiko wakati wenzio tumekaa miaka kumi na message zetu za PM hazijawahi kujibiwa na akina Joanah.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]kila mtu na bahati yake bhna mimi mbona mpka nina mawasiliano na watu humu na tushakuwa kama ndugu
 
Na unakwama wapi Sasa,mbona wale watu unaowasiliana nao wasikupe mialiko ya krismasi?
 
Ujue mm nimekulia china ndio shida [emoji3][emoji3][emoji3][emoji2]
Na kweli ona hii:-

Lakini wazazi kama wengekuwa wana wakataza au wanakemea hawa watoto wange acha hila baada ya hapo tuliwaelimisha kwa kuwatenga kimakundi kulingana na umri wao kila mmoja aka kaa nao na kuongea nao

imetoka:-
 
Duh asante uwen unanilekebisha ninapokosea ujue kuongea kiswahili na weza sana hila kuandika kwakweli changamoto mpenzi wangu wa huko hong kong kanialibu sana alikuwa anaitwa yiyi sasa mda mwingi huwa namuigaga rafuzi yake ndio maana hivi
 
Pamoja na utetezi wa kitoto, Ulitakiwa kuandika hivi:-

Duh asante uwen unanilekebisha (unanirekebisha)ninapokosea ujue kuongea kiswahili naweza sana hila (ila) kuandika kwakweli (ni) changamoto mpenzi wangu wa huko hong kong (Hong Kong) kanialibu (kaniharibu) sana, alikuwa anaitwa yiyi , sasa mda (muda)mwingi huwa namuigaga rafuzi (lafudhi ) yake .........

Nitamuomba kisura wangu To yeye akupe tuition
 
Pamoja na utetezi wa kitoto, Ulitakiwa kuandika hivi:-

Nitamuomba kisura wangu To yeye akupe tuition

Asante kwaio sentensi hizo zote zilikuwa na makosa hivyo duh [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Back
Top Bottom