Atriums hotel at sinza

tsh. Tsh 25,000 singo na Tsh. 35,000 dabo.
Ila pako pafinyu sana na siku hizi pana kukurukakara nyingi

nakushauri Landmark sinza, bado ina utulivu ila singo 45,ooo na dabo jiongeze
ila wasikupe floor ya chini vyoo vibovu.

Kongosho una hatari wewe habari zote unazo :biggrin:
 
He he he he, mie tangazo lao pale barabarani linanikatishaga tamaa
Sababu ya maandishi ya blue
Nahisi milango yao itakuwa ya blue pia
Sipendi blue colour
Kongosho, utembelee machi machi guest house ile ya mwembe jini, makaburini. Wameweka AC afu kile chumba cha mwisho kulia wametengeneza dirisha ila bado kile cha kushoto kinapigwa jua, usiweke handibag dirishani itababuka.
 
ninataka chumba cha 20,000.na ndo kwanza nipo morogoro natokea mikaoani, naomba wadau wanaojua chumba cha hiyo bei jirani na stand ya ubungo na number yao ya simu.
 
wala usipate taabu muulize Mtambuzi kama ameshamaliza vyumba pale LEO TUPO HAPA PUB utapata cha hiyo
ninataka chumba cha 20,000.na ndo kwanza nipo morogoro natokea mikaoani, naomba wadau wanaojua chumba cha hiyo bei jirani na stand ya ubungo na number yao ya simu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu inaelekea unafanya safari nyingi za 'kikazi' maeneo hayo.

**************

Teh teh teh anatokea Dar anakwenda Dar....ndio mambo ya Mujini hayo si Komba peke yake
 
tsh. Tsh 25,000 singo na Tsh. 35,000 dabo.
Ila pako pafinyu sana na siku hizi pana kukurukakara nyingi

nakushauri Landmark sinza, bado ina utulivu ila singo 45,ooo na dabo jiongeze
ila wasikupe floor ya chini vyoo vibovu.

Kongosho mkuu umeelezea vizuri sana. Mtaalamu weweee. Hivi Namnani Hotel ipo tena? Imeua wenye ndoa wengi hasa UDSM staff!!
 
Mhh.. kuja jamaa humu ndani wanafahamu gest baada ya gest, hivi huwa mna tenda ya kufanya furmigation au vipi?

Nimecheka sana. Ni wakaguzi wa afya manispaa ndo nickname ya wachepukaji wanaobadili venue kila siku maana kla siku na partner tofauti so ni aibu kuwapeleka guest/hotel moja.
 
Ha ha ha, nimeiona komenti yangu nikashangaa mwenyewe. SIjui niliandika nikiwa nawaza nini.

I swear hii sred kuna mtu aliiba gesti opps pasiwedi yangu.

Kongosho mkuu umeelezea vizuri sana. Mtaalamu weweee. Hivi Namnani Hotel ipo tena? Imeua wenye ndoa wengi hasa UDSM staff!!
 
Anaejuwa bei ya chumba ya hiyo hotel plz inform me

Kuna jamaa alilalamika hapa kuhusu kuibiwa vitu vyake hapo hotelini na alipomlalamikia mmiliki wake Mr Udaku hakuna hatua zilizochukuliwa
 
Anaejuwa bei ya chumba ya hiyo hotel plz inform me

Angalia kwenye mtandao wapo na kuna namba za simu unaweza kuwapigia kuwauliza,bofya kwenye mtandao wa magazeti ya udaku utaona
 
Hiyo MAchi Machi huwa naiona sehemu lakini skumbuki ni wapi.

Machi Machi zipo nyingi na zote zimegeuzwa madanguro,moja ipo pale Mugabe Sinza,ingine Sinza CCM kule Lion Hotel ,Kinondoni makaburini nyuma ya Hugo House na zingine Mwananyamala.Mtu mwenye staha hakai hizo guest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…