Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tsh. Tsh 25,000 singo na Tsh. 35,000 dabo.
Ila pako pafinyu sana na siku hizi pana kukurukakara nyingi
nakushauri Landmark sinza, bado ina utulivu ila singo 45,ooo na dabo jiongeze
ila wasikupe floor ya chini vyoo vibovu.
Kongosho una hatari wewe habari zote unazo :biggrin:
Kongosho, utembelee machi machi guest house ile ya mwembe jini, makaburini. Wameweka AC afu kile chumba cha mwisho kulia wametengeneza dirisha ila bado kile cha kushoto kinapigwa jua, usiweke handibag dirishani itababuka.
Mhh.. kuja jamaa humu ndani wanafahamu gest baada ya gest, hivi huwa mna tenda ya kufanya furmigation au vipi?
Ni askari wa jiji
Polisi jamii
Kongosho una hatari wewe habari zote unazo :biggrin:
Hiyo MAchi Machi huwa naiona sehemu lakini skumbuki ni wapi.
ninataka chumba cha 20,000.na ndo kwanza nipo morogoro natokea mikaoani, naomba wadau wanaojua chumba cha hiyo bei jirani na stand ya ubungo na number yao ya simu.
Mhh.. kuja jamaa humu ndani wanafahamu gest baada ya gest, hivi huwa mna tenda ya kufanya furmigation au vipi?
Mkuu inaelekea unafanya safari nyingi za 'kikazi' maeneo hayo.
**************
Teh teh teh anatokea Dar anakwenda Dar....ndio mambo ya Mujini hayo si Komba peke yake
tsh. Tsh 25,000 singo na Tsh. 35,000 dabo.
Ila pako pafinyu sana na siku hizi pana kukurukakara nyingi
nakushauri Landmark sinza, bado ina utulivu ila singo 45,ooo na dabo jiongeze
ila wasikupe floor ya chini vyoo vibovu.
Mhh.. kuja jamaa humu ndani wanafahamu gest baada ya gest, hivi huwa mna tenda ya kufanya furmigation au vipi?
Kongosho mkuu umeelezea vizuri sana. Mtaalamu weweee. Hivi Namnani Hotel ipo tena? Imeua wenye ndoa wengi hasa UDSM staff!!
Anaejuwa bei ya chumba ya hiyo hotel plz inform me