Papillon 1906 JF-Expert Member Joined Jun 19, 2025 Posts 228 Reaction score 753 Jul 7, 2025 #1 Ni desturi mbaya kukusanyika mahali pa matanga na kukaa hapo hapo siku nyingi kuwatia gharama waliofiwa. Mtu aliepatwa na msiba lazima apewe mkono wa tanzia maana atafarijika lakini kuiendeleza muda mrefu kutamwongezea huzuni na mzigo.
Ni desturi mbaya kukusanyika mahali pa matanga na kukaa hapo hapo siku nyingi kuwatia gharama waliofiwa. Mtu aliepatwa na msiba lazima apewe mkono wa tanzia maana atafarijika lakini kuiendeleza muda mrefu kutamwongezea huzuni na mzigo.
Mtili wandu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 11,047 Reaction score 16,378 Jul 8, 2025 #2 Unamaana gani, kupindi cha Ada hiki school bus fees, usituzungushe haya nani kafa.