ATTACK TACTICAL

ATTACK TACTICAL

Joined
Mar 30, 2020
Posts
68
Reaction score
106
teke la juu
up kick ni teke ambalo hutumika kwa kumpiga adui katika korodani au uso kama adui akiwa kainamia mbele.
 

Attachments

  • SGN_10_25_2026_1792949946870.png
    SGN_10_25_2026_1792949946870.png
    632.9 KB · Views: 7
Kwanini korodani
Kwa sababu kodani ni sehemu ambayo inahisia kali sana za maumivu, ambayo kama pigo likiwa zito zaidi adui anaweza akapoteza fahamu au akashindwa kukufuata au kupambana tena na wewe ,hapo utakua umepata nafasi ya kukimbia na kurudi nyumbani salama.
 
Back
Top Bottom