Bora nyie hii ilitokea mwaka 1977 kuelekea darasa la saba kuna mhuni aliandika ubaoniWatukutu waliiba daftari la attendence, tulipata shida sana
...?[emoji3] [emoji3] [emoji3]
upo wew mtu...?
nipo kwasababu upo!upo wew mtu
usipotee sana basinipo kwasababu upo!
sawa mpenziusipotee sana basi
Ninalo huku nafungia maandazWatukutu waliiba daftari la attendence, tulipata shida sana
Ahahahahaahahaaaa........... kama hayupo mnasema mtorooo wa maishaaaa....tujikumbushie enzi zile p/school mwalimu wa darasa alipokuwa akiita majina ya wanafunzi darasani huku wanafunzi tukitakiwa kuitika (jana na leo), kama jana hukuwepo unasema (leo). kama hayupo mnasema (mtorooo)
nitaita wafuatao waitike na nyie kila mmoja amwite mwenzake nae aitike kimtindo wa jana na leo ad attendence ikamilike ya JF nzima ntaanza,,,,,, 1)khantwe!!!!!!!!!!