Me too
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,388
- 9,333
tujikumbushie enzi zile p/school mwalimu wa darasa alipokuwa akiita majina ya wanafunzi darasani huku wanafunzi tukitakiwa kuitika (jana na leo), kama jana hukuwepo unasema (leo). kama hayupo mnasema (mtorooo)
nitaita wafuatao waitike na nyie kila mmoja amwite mwenzake nae aitike kimtindo wa jana na leo ad attendence ikamilike ya JF nzima ntaanza,,,,,, 1)khantwe!!!!!!!!!!
nitaita wafuatao waitike na nyie kila mmoja amwite mwenzake nae aitike kimtindo wa jana na leo ad attendence ikamilike ya JF nzima ntaanza,,,,,, 1)khantwe!!!!!!!!!!